King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wewe elewa kwamba jamaa yenu hana uwezo wa kununua hilo gari.Bila shaka unajua pesa aliyonayo,hebu tuambie ana sh'ngapi kwa sasa ........Na hiyo gari inauzwa kiasi gani .............Lakini kumbuka hiyo sio Phantom.