Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Bila shaka unajua pesa aliyonayo,hebu tuambie ana sh'ngapi kwa sasa ........Na hiyo gari inauzwa kiasi gani .............Lakini kumbuka hiyo sio Phantom.
Wewe elewa kwamba jamaa yenu hana uwezo wa kununua hilo gari.
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Kwanini wewe usinunue hizo apartment ili kizazi chako kifaidike hapo baadaye?
 
Una hasira balaaa
Sina hasira maana jamaa yenu anipunguzii kitu wala haniongezee kitu simdai wala hanidai nachopinga ni timu yenu kutuletea habari za uzushi humu JF wakati tupo watu wenye akili timamu ambao tunajua kabisa ni uongo wa kiwango cha lami,Kuna njia nyingi za kuboost KOKORO maana imebuma.
 
Hamna chuki hata kidogo,Kuna watu wanapesa za kutosha,Diamond bado hajafikia kiwango cha kuwa tajiri,ana hela ya kula na kujenga sehemu ya kuweka ubavu na kununua vitoyo vya kutembelea na kuhonga senti tano kina tunda na mabeto.
Ulinganii na unachokiongea,ilipinga sana kuhusu kumiliki nyumba kuwa HAWEZI,leo upo huku,wapi aliposema yeye ni tajiri ............ ??
 
Nani alikwambia kwamba nimekubali kwamba diamond ana nyumba South? Kupiga picha na video ukiwa kwenye nyumba haimaanishi kwamba ni yako,Itafahamika tu na si kwa kutulazimisha na mipicha ya insta.

Nakumbuka hata Ja rule alishawahi kutudanganya anamiliki nyumba miami akatuonyesha kabisa kupitia MTV Cribs kumbe ilikuwa magumashi tu.
 
Sina hasira maana jamaa yenu anipunguzii kitu wala haniongezee kitu simdai wala hanidai nachopinga ni timu yenu kutuletea habari za uzushi humu JF wakati tupo watu wenye akili timamu ambao tunajua kabisa ni uongo wa kiwango cha lami,Kuna njia nyingi za kuboost KOKORO maana imebuma.
Kitoto cha kiume kinatokwa povu masikini ya Mungu,pole sana fanya kazi na wewe uwe na pesa, ili hata ukisikia watu wanaongelea vitu vya thamani uone kawaida tu.
 
Nani alikwambia kwamba nimekubali kwamba diamond ana nyumba South? Kupiga picha na video ukiwa kwenye nyumba haimaanishi kwamba ni yako,Itafahamika tu na si kwa kutulazimisha na mipicha ya insta.

Nakumbuka hata Ja rule alishawahi kutudanganya anamiliki nyumba miami akatuonyesha kabisa kupitia MTV Cribs kumbe ilikuwa magumashi tu.
Ni aibu sana kwa kitoto cha kiume kutokwa povu kiivo.
 
Siwezi nikatoka na Povu kwa mtu ambaye hana connrction na mimi hata moja na sijawahi kukutana naye na sina uhakika kama nitakuja kukutana naye maana mambo ya kwenda matamasha niliachaga tangia 2002 enzi hizo jamaa yenu anaokota makopo.
 
Elimu Elimu Elimu,Wapi Wamesema kwamba Huo Mchuma ameununua Diamond? Tanzania Diamond ndio mwenye pesa ya kununua Phantom? Acheni Kiki zisizoeleweka kisa KOKORO imebuma sasa mwendo wa BAMBAtoBAMBA hakuna simba wala mamba.
Acha kukaa kijiweni fanyakazi upate pesa,maana hizi ni dalili kwamba wewe ni wavijiweni tu.
 
Siwezi nikatoka na Povu kwa mtu ambaye hana connrction na mimi hata moja na sijawahi kukutana naye na sina uhakika kama nitakuja kukutana naye maana mambo ya kwenda matamasha niliachaga tangia 2002 enzi hizo jamaa yenu anaokota makopo.
Wewe naamini ni mtoto wa kiume,sasa kama vipi ili usiwe na mapovu kama haya anza kupiga kazi na uache kukaa vijiweni,kila kitu kwako utaona vya kawaida ila hii ya wewe kushinda kijiweni kwa mtoto wa kiume sio,si unaona unavyojizalilisha mbele ya sisi kaka zako....??
 
Siwezi nikatoka na Povu kwa mtu ambaye hana connrction na mimi hata moja na sijawahi kukutana naye na sina uhakika kama nitakuja kukutana naye maana mambo ya kwenda matamasha niliachaga tangia 2002 enzi hizo jamaa yenu anaokota makopo.
Dah jamaa povu unalotoa latosha kuosha magari yote ya diamond na zari.. Au ndo mapovu yamekuzidia baada ya role model wako wemasepetu kuwa hana gari hata moja la kuosha?
 
Back
Top Bottom