Pre GE2025 Roma aeleza hisia zake Vyama vya Upinzani kuwatenga wasanii katika shughuli zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


wasanii ni Iron boys, wenye akili kidogo, and their function in the state is to Entertain the citizens of the state! Entertainers!

Plato alisema
In a society, people’s intellectual abilities are naturally divided into three groups;
golden boys,
silver boys
and iron boys.


Plato alisema
So, the education system should sift them for providing education that matches their abilities.


Golden boys (the bright ones): their education should fit positions of philosopher kings, rulers, policy makers and planners.Responsible in making the society to be calm and prosperous.

Silver boys, the less bright group but physically fit: would be trained to be defenders of people as well as supervisors for ensuring that the policies made are followed.

The iron boys, the dull ones were to be prepared for intellectually less demanding jobs; farmers, carpentry or iron smiths.
 
Ishauri wangu kwa wasanii ni kwamba wajiepushe na shughuli za kisiasa kwani wanawakwaza mashabiki wao ambao sio mashabiki wa siasa
Msanii lazima uwe makini sio kila fedha ni ya kukimbilia nyingine ni za kujidhalilisha
Msanii unaitwa Kitumbuiza Kwenye pati ya wezi, majambazi, mashoga au wasagaji.
Hata kama unalipwa fedha kiasi gani ziepuke
Ni kheri uende ukatumbuize kwenye pati ya watoto yatima bure kulipo kwenye pati hizo tajwa hapo juu
 
wewe ni mTz usiyejitambua. unashangilia matumizi mabaya ya feza za walipa kodi!

unafahamu leo ni wangapi wanakufa mahosipitalini kwa kukosa pesa za kupata huduma? Unajua ni waTz wangapi hawana maji safi na salama?

...
 
Roma asichojua ni kuwa wasanii hawawezi kujihusisha na wapinzani kwani watashughulikiwa, hivi amesahau nini kilimkuta na kwanini.
Kama ndio hivyo mbona hata hawa waliojipambanua na kusimamia upinzani hamuwajali pamoja na uchache wao? Kuna tatizo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…