Roma afungiwa miezi sita kujihusisha na sanaa

alafu kwanini afungiwe roma then stamina aachiwe wakati ule ni wimbo wao wa pamoja? 26/4 naona mbali sana
 
Acha wazivufingie wao Ndio viherehere wakati wa Kampeni hapa kazi tu.
 
Nimeona kwenye list yao ya jana,wameifungia nyimbo ya kibamia ya Abelnago aka Roma mkatoliki, mmhhh sizani kama BASATA, wanasikiliza na kuwafahamu wasanii wa bongo fleva
Nimeona kwa Millard wanamuita ibrahimu mussa
 
Unafurahia matusi badala ya mziki?
Just like an acolyte
Una unga mkono kila upuuzi wa serikali
Juliana Shonza anadhani sisi wote tunataka kusikiliza gospel
Nchi hii ya hovyo mnatupangia nguo za kuvaa,mafuta ya kujipaka,movie za kuangalia,muda wa kunywa bia,muda wa kucheza dansi na kila aina ya upuuzi
Muda si mrefu mnatupangia siku za kutafuta watoto.
Serikali imemzaa nani?
 
Wafungie na wimbo wa Taifa, maana yale maneno wabariki na viongozi wake, viongozi wenyewe vilaza tupu.
na wanazidi kuchafua kile kipengele cha amani na umoja... nakazalika
 
Ule wimbo wa kibamia kaimba Roma na stamina ,,,,kwanini amefungiwa Roma pekeyake wakati nyimbo imetungwa na kuimbwa na watu wawili?
 
Kwani kuzaliwa Bongo sio Bahati mbaya?
 
hiyo hakunaga ushemaji imehit weeh sasa hivi imepotea ndio wanakumbuka kuifungia....basata bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo mengine yanatia kichefuchefu
 
mlianza na wanasiasa wa upinzani, mkaja kwa vyombo vya habari, makenda kwa nyumba za ibada, mkafungia bunge live, mkafunga mikutano ya siasa,

leo ni zamu ya wasanii.

serikali ya wamu ya 5 ni katili kwa kila mtanzania.
Bado wao kwa wao , acha wacheke tu saivi
 
Duu bado tu wanaye... Kwani kule haikutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…