binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Nachelea kusema hajui kuishi na watu, hata ukiwa mzuri kwenye kitu gani acha watu waone, waapriatiate wao. Na wasiopoona pia isikusumbue. Sio unakaa kulazimisha watu wakuone vile we unajiona/ unataka. Badala ya over confidence mi naeza kuita inferiority!Tatizo la Roma ni overconfident in nature. Kabla ya muziki alikuwa basketballer mzuri sana pale shulen kwetu.( USAGARA SEC - TANGA ) tabia hizo alikuanazo anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage
aaaaaahh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tatizo asili yake ... Hayo mambo ya wanaume watanga ..
Kweli kabisa mkuuTrue mkuu ndoo maana bongo hata aje nani viwanda na maendeleo kwa ujumla tutayasikia kwenye radio,wabongo wote mama yao mmoja kwa unafiki
Kwanini Kenya na sio Rwanda au kwingineko?Hamia kenya sasa
Wewe utakua kama nakujua vile....ni kweli uliyoyasema maana hata mimi tulikua mwaka mmoja na roma alikua na katabia hako...ana mtindo wa kutaka ajione kila kitu anajua vizuri uki ignore tu basi anakuchukiaTatizo la Roma ni overconfident in nature. Kabla ya muziki alikuwa basketballer mzuri sana pale shulen kwetu.( USAGARA SEC - TANGA ) tabia hizo alikuanazo anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage
Hahahha dah km zali tumekutana huku mtaaniHabari ya mwaka mpya mkuu
Shukrani. Kwahiyo we ndio unatabia kama za mke wa Roma, maana naona ndio katupiwa mpira kuwa huenda ndio kamuambukiza Roma.Watu wanatabia kama za kwako
hawa bongo flava huwa siwaani huwanawaona kama wale wanasiasa wataka utawalaMbona anaonekana yupo Real sana.!!
Hahahah true story am a victimNa hapo ndio lilipo tatizo la vijana wa karne hii! Kama hujawahi kupigwa, jaribu Business Partnership!
Njema kabisa. Habari yako mkuuHabari ya mwaka mpya mkuu