binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Nachelea kusema hajui kuishi na watu, hata ukiwa mzuri kwenye kitu gani acha watu waone, waapriatiate wao. Na wasiopoona pia isikusumbue. Sio unakaa kulazimisha watu wakuone vile we unajiona/ unataka. Badala ya over confidence mi naeza kuita inferiority!Tatizo la Roma ni overconfident in nature. Kabla ya muziki alikuwa basketballer mzuri sana pale shulen kwetu.( USAGARA SEC - TANGA ) tabia hizo alikuanazo anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage
Nafikiri ndiyo shida ya yule kiongozi mkuu....