Roma ana matatizo gani? Kila anayekuwa rafiki yake lazima amgeuke

Roma ana matatizo gani? Kila anayekuwa rafiki yake lazima amgeuke

Tatizo la Roma ni overconfident in nature. Kabla ya muziki alikuwa basketballer mzuri sana pale shulen kwetu.( USAGARA SEC - TANGA ) tabia hizo alikuanazo anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage
Nachelea kusema hajui kuishi na watu, hata ukiwa mzuri kwenye kitu gani acha watu waone, waapriatiate wao. Na wasiopoona pia isikusumbue. Sio unakaa kulazimisha watu wakuone vile we unajiona/ unataka. Badala ya over confidence mi naeza kuita inferiority!

Nafikiri ndiyo shida ya yule kiongozi mkuu....
 
Tatizo la Roma ni overconfident in nature. Kabla ya muziki alikuwa basketballer mzuri sana pale shulen kwetu.( USAGARA SEC - TANGA ) tabia hizo alikuanazo anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage
Wewe utakua kama nakujua vile....ni kweli uliyoyasema maana hata mimi tulikua mwaka mmoja na roma alikua na katabia hako...ana mtindo wa kutaka ajione kila kitu anajua vizuri uki ignore tu basi anakuchukia
 
Tatizo ni Mke wa Roma. yule dada ndio chanzo. ukiwa na mke kama yule lazima utagombana na kila mtu
 
anawafyonza wenzie na kuwabwaga sio?
basi nae atakuja fyonzwa siku si nyingi
 
Shukrani. Kwahiyo we ndio unatabia kama za mke wa Roma, maana naona ndio katupiwa mpira kuwa huenda ndio kamuambukiza Roma.
Wewe apo unayejiona unajua kila kitu
 
Back
Top Bottom