Mwambieni hekima, busara na utashi havipimwi na wingi wa degree ulizonazo....
Mwambieni wazee wetu walipambana na wakoloni na hawakuwa na hayo madegree ila walishinda , wao na madegree yao panya road tu wanawatoa jasho.
Mwambieni kipimo cha akili si madegree, itokee siku anyang'anywe madaraka yote, na pesa zote na Mali zote alafu aletwe huku mtaani aone kati ya yeye mwenye madegree na alieshia lasaba nani atalala njaa...
Mwambieni anakula analala, anaenda msalani kwa kodi zetu tusio na degree...
Kwakifupi mwambieni awe na heshima ......Njaa isimfanye awaze kwa .....Mwambieni nimesema
Baba Mtakatifu