Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Angetoa ushauri kwa Nandy, Mondi na Harmonize tungemwelewa Leo, amuache Roma awape makavu yakiuma sana wavumilie tuu, kama sisi tunavyovumilia kina Nandy
 
Ukisikiliza tungo za Mrisho mpoto na ukasikiliza za msanii msomi yule mweusi unaweza ukathibitisha elimu sio muhimu sana kama akili!!
 
Roma ni msanii, mwanamuziki. ametumia sanaa ya muziki kufikisha ujumbe wake na umefika. ndiyo njia aliyoichagua, na imefanikiwa. ndiyo maana kuna 'backlash'.
Roma ni Coward and somewhat a[emoji192]

Nitamuheshimu Fatma Karume na Zitto siku zote kwa misimamo yao atakama sikubaliani nao kwenye kila hoja, siasa zao zisizo na tija, too direct and very confrontational; to my liking.

Nitamuheshimu Professor Lwaitama siku zote through his clever ways of criticising the government.

Nitamuheshimu ata Musiba kwa misimamo yake inayopitiliza na kukera.

Lakini mtu kama Roma na asilimia kubwa ya wanasiasa ambao ni cowards design ya Waitara kama ukuweza kusema mbele ya mtu bora usiseme kabisa kuliko usubiri utoke ndio uponde au usifie that’s just a sissy behaviour.
 
Hatari sana...

Mbona Eminem anaikosoa sana serikali yao tena kwa maneno makali lakini fresh tuu...

Kweli sanaa ya bongo yataka moyo...

Cc: mahondaw
 
[emoji16]hatari, hatari...hii nchi yetu sijui inaelekea wapi ...

Kila sehemu pamoto
 
Haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa kiongozi wa umma , Kitendo cha Mwakyembe kujinadi hadharani kwamba anamiliki degree 4 kimeamsha ari ya wadau kutaka kufahamu zaidi shule alizosoma na alichosomea , yasemekana alianzia kwenye diploma ya uandishi wa habari baada ya matokeo yake kutomruhusu kuingia moja kwa moja chuo kikuu .

Anayelifahamu jambo hili aje na vielelezo .
 
Ngoja nikuambie kitu.
Kusoma HKL, HGL au PGM,PCM and so hakuwezi kuthibitisha kuwa wewe kichwani hamnazo au la. Huu ulofa upo shule za kata tu ambapo walimu huwachagulia wanafunzi wao combination kulingana na matokeo yao ya form 2. Shule niliyosoma Mimi wengi tu chemistry na physics form two tulipata A au B lakini tukaachana nayo tulipoingia form 3.
 
Ngoja nikuambie kitu.
Kusoma HKL, HGL au PGM,PCM and so hakuwezi kuthibitisha kuwa wewe kichwani hamnazo au la. Huu ulofa upo shule za kata tu ambapo walimu huwachagulia wanafunzi wao combination kulingana na matokeo yao ya form 2. Shule niliyosoma Mimi wengi tu chemistry, physics form two tulipata A au B lakini tukaachana nayo tulipoingia form 3.
asante kwa mchango wako
 
Haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa kiongozi wa umma , Kitendo cha Mwakyembe kujinadi hadharani kwamba anamiliki degree 4 kimeamsha ari ya wadau kutaka kufahamu zaidi shule alizosoma na alichosomea , yasemekana alianzia kwenye diploma ya uandishi wa habari baada ya matokeo yake kutomruhusu kuingia moja kwa moja chuo kikuu .

Anayelifahamu jambo hili aje na vielelezo .
Mwakyembe alisoma na Lowassa.......... Dr Slaa alisoma na Membe

Sijajua Mbowe alikuwa na mwanasiasa gani shuleni!
 
Fanyeni Mambo yenu siasa waachieni wanasiasa
 
Back
Top Bottom