Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roma ni Coward and somewhat a[emoji192]
Nitamuheshimu Fatma Karume na Zitto siku zote kwa misimamo yao atakama sikubaliani nao kwenye kila hoja, siasa zao zisizo na tija, too direct and very confrontational; to my liking.
Nitamuheshimu Professor Lwaitama siku zote through his clever ways of criticising the government.
Nitamuheshimu ata Musiba kwa misimamo yake inayopitiliza na kukera.
Lakini mtu kama Roma na asilimia kubwa ya wanasiasa ambao ni cowards design ya Waitara kama ukuweza kusema mbele ya mtu bora usiseme kabisa kuliko usubiri utoke ndio uponde au usifie that’s just a sissy behaviour.
T
Tena kapiga PCM yule,logic imelala usipime.
Kwani waziri kwenye hizo degree 4 kasoma logic?.
Ndo maana Roma amemvuruga ubongo.
Yule Ni mwalimu wa Math na Chem,waziri sijui alisoma Nini advance level.
asante kwa mchango wakoNgoja nikuambie kitu.
Kusoma HKL, HGL au PGM,PCM and so hakuwezi kuthibitisha kuwa wewe kichwani hamnazo au la. Huu ulofa upo shule za kata tu ambapo walimu huwachagulia wanafunzi wao combination kulingana na matokeo yao ya form 2. Shule niliyosoma Mimi wengi tu chemistry, physics form two tulipata A au B lakini tukaachana nayo tulipoingia form 3.
Nimeshamwanzishia ligi tayari.Ungeomba CV ya Mwakyembe tu hiyo heading utaleta ligi na ngwini sasahivi
Mwakyembe alisoma na Lowassa.......... Dr Slaa alisoma na MembeHaijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa kiongozi wa umma , Kitendo cha Mwakyembe kujinadi hadharani kwamba anamiliki degree 4 kimeamsha ari ya wadau kutaka kufahamu zaidi shule alizosoma na alichosomea , yasemekana alianzia kwenye diploma ya uandishi wa habari baada ya matokeo yake kutomruhusu kuingia moja kwa moja chuo kikuu .
Anayelifahamu jambo hili aje na vielelezo .
asante kwa ushauriUngeomba CV ya Mwakyembe tu hiyo heading utaleta ligi na ngwini sasahivi
mkuu usichanganye mada , hata hivyo nakupongeza kwa uzinduzi wa kampeniMwakyembe alisoma na Lowassa.......... Dr Slaa alisoma na Membe
Sijajua Mbowe alikuwa na mwanasiasa gani shuleni!
Ngwini wengi ndio huwa wanajiita 'mawakili wasomi',huwa nashangaa sana mtu aliyeshindwa 'MAGAZIJUTO' kujimwambafai mbele yangu.Ungeomba CV ya Mwakyembe tu hiyo heading utaleta ligi na ngwini sasahivi