Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Huu uzi bana c wa kumic j4 coz najua Roma atabwabwaja maneno tu kesho mbavu bado zitakuwa zinauma... Wacha nitege antena hadi j4 tupate ubuyu..
 
Naamini Roma atatumia slogan ya Chama, kwamba ukweli daima uongo mwiko..

Ila nadhani hapa ili kujilinda zaidi ni kuchapa risasi kama pistoria tu babakee ukisikia hata panga kadondosha kijiko hakikisha usije ukajikuta umetekwa.
 
Awaambie ukweli nyie kama nani bwana.. Hii ishu tumuachie mwenye inahusu usalama wa maisha yake mwenyewe.
 
Kwani bashite ni mkatoliki ?
 
Walahi kuna vugu vugu baya inchini likisababishwa na mtu mmoja tu huku mkuu kabisa akiona sawa. So sad. Sidhani ndicho walicho tegemea wapiga kura wake.
BTW Tanzania ipo katika hatua nzuri ya kumpata kiongozi mwenye sifa zote za Kagame.
 
Kesho nitakuwepo kwenye mkutano,japokuwa sio muandishi wa habari,sio kwa udaku huu wa Tanzania inavyoenda now.
 
Tutaanza na wewe inselekea unajua mengi
 
ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu...

uwongo utajitenga kwenye ukweli.

Ewe M.Mungu mjalie afya njema Rais JPM na serikali yake.
 
Issue ya vyeti imezikwa hivyo.....
 
Kama Roma asingechechemea mguu wake baada ta utekaji, hata mimi kweli nisingemuamini mleta uzi. Lakini there is a possibility kwamba anayoyasema yana ukweli.

kumbe na wewe ulitaka kuungana na wale waliokuwa wanadhani natania mkuu? mtafuteni moni na bin laden waulizeni kwanini walitenganishwa vyumba na wote wakawa wanateswa tofauti tofauti? si wapo nje tayari sasa kwanini mliopo nao msiwaulize tu ili mjiridhishe? au na nyie mnaogopa kutekwa kama wao?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…