ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hapo hamna siri tena kila kitu tutakipata hapa.Punguza ubashite na kiherehere mkuu, kwani jumanne imeshafika hadi uanze kutokwa povu, kasema anamsubiri Roma auseme ukweli asiposema yeye atasema. Kumbuka kwenye hili swala sio Roma peke yake anayeujua ukweli, kuna watu watano waliokuwa watekaji kwenye Noah na kuna watu wanne waliotekwa kwa hiyo kama ni Siri Basi ni ya watu zaidi ya Tisa na mtoa mada anaweza kuwa mmoja Kati ya hao tisa
Wanaweza wakamuua muda wowote ili asiongee au kama akiongea hataongea ukweli kitu ambacho bado kitamuweka pabaya zaidi.Dah! Najuta kuufungua uzi huu, tunako elekea si kuzuri
Namhurumia sana Roma, yupo kwenye wakati mgumu sana...
[emoji27] [emoji27] [emoji27] naungana nawe na kama ndo walimfinya, ndo bas tenaMim naimani Roma hatosema ukwel, Nakuomba mtoa uzi hyo J4 utuwekee na clip kabisa za hvyo vitasa alivyopewa Roma
Tuombe Mungu, aweke bayana yote yalowakuta.Wanaweza wakamuua muda wowote ili asiongee au kama akiongea hataongea ukweli kitu ambacho bado kitamuweka pabaya zaidi.
Cha msingi aongee ukweli kila kitu ili hao waliomteka kama ni kumuua wamuue kweli vita vianze kwa mtu anayejulikana
Kama bandiko hili lina UKWELI basi baadae Leo Roma atasema UONGO.Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Kumbe mapovu yote haya sababu ni kulishwa sio.Ni wazue unanilisha!?
Kama wewe unaamini hizi drama wanazojisetia watu kwa maslahi binafsi endelea kuamini.
Mimi niache na yangu navyoamini mimi
Kunyooka mtanyooka tu, na nyie wafata mikumbo bila kupiga breki kufikiria
Mkuu wakati ule ilikuwa kipya kinyemeKuwa mnafiki ndani ya JF yahitaji akili-tanashati (Smart brain). Tupitie kidogo mnakasha wa Tomito Tomato hapa Hivi kwanini Makonda anachukiwa hivi wakati anafanya kazi vizuri tu?
Pumbavu ww kaa kimya kazi ya kuteka watuKuwa mnafiki ndani ya JF yahitaji akili-tanashati (Smart brain). Tupitie kidogo mnakasha wa Tomito Tomato hapa Hivi kwanini Makonda anachukiwa hivi wakati anafanya kazi vizuri tu?
tomito buana watu wamegundua vitu kabla hujaanza mambo,anyway I'm full of curiosity nasubiri hayo atakayoyaongea roma na hayo utakayoyasema.tuongeze umakini kwa tutakayoyaongea mitandaoniKuwa mnafiki ndani ya JF yahitaji akili-tanashati (Smart brain). Tupitie kidogo mnakasha wa Tomito Tomato hapa Hivi kwanini Makonda anachukiwa hivi wakati anafanya kazi vizuri tu?
Wewe Mrs Bashite unachekelea nini sasa??? Ngoja siku mmoja utekwe wewe ndo utajua haya mambo si ya kuchekeleaHa ha haaaaaaa
Wa madawa mnamtishia eeeeeh.
Mmeshaanza kutunga uongo, na bado mtanyooka tu.
Nchi hii viongozi hawatachafuliwa kwa sababu wtu wachache wana maslahi yao.
Mtanyooka tu.
Mbona povu Mrs Bashite?? bwana wako huu mwaka hautaisha lazima ashughulikiwe.Hakuna baya lolote hapa nchini. Ninjtie wachacge manata wati wawafate ili kuweze kufikia malengo yenu. Unayoyaongea hayana tofauti na yule aliyeongea na wa kwao jana.
Mnaraka kuweka watu kwenye wasiwasi wa kutekwa huku mnayapanga ninyi.
Majambazi mbona hamuwaongelei na wanatenda mengi kila siku nchini kilakona!?
Mtanyooka tu