Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Diamond ndo msanii wa ajabu kama domo lake
 
Roma toka uje utuambiee wapi ulikuwa na kama umenyeshwa matango pori tutajuaa
 
Kichekesho zaidi ni pale watakaposema hakuna wanayemshikilia kuhusiana na utekaji huo
 
lakini zin work kwa wananchi wengi..Wewe ndo unaona za kitoto. Wale wanaotoa mishipa kule instagram wengi ni Naive.😀😀😀
 
Hapa makonda anahusika kwa kweli.watuambie wamewapa vipi?wamewaokoa ama ?
 
Hongera Jeshi letu kwa msako mkali uliopelekea kupatikana kwa Roma.
 
Roma ataweza sema alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini.. nay aliitwa ikulu akatoka kimya hadi leo.
 

I'm glad you see it the way I see it.

Kila baya sasa hivi litakuwa linahusishwa na Magufuli pamoja na Makonda.

But they are also not doing themselves any favor na vile wanavyotoa kauli zao pamoja na matendo yao.
 
Igp Yupo Kimya
Waziri Wa Mambo Ya Ndani Kimya
Waziri Wa Habari Utamaduni Michezo Kimya

  • IGP anawaza kutumbuliwa siku za karibuni ni suala la muda tu.
  • Waziri wa Mambo ya Ndani yupo busy katika Kusajili Kikosi chake cha Singida United.
  • Waziri wa Habari Utamaduni Michezo anaogopa kuingilia hasa akikumbuka kuwa hata yeye bado ile Sumu haijamtoka sawa sawa Kichwani hataki ' kuthubutu ' kwani hata kupona kwake tu ilikuwa ' tia maji tia maji '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…