*Wanadamu wenzetu wanapotea tupo kimya* kama waliopotea sio binadamu ni *viazi mviringo*
Faru alipopotea hata DNA ilifanyika na *waziri mkuu alikuwa mkali kama mbogo* hii ni hatari na hii ni ishara tosha ya kuchokwa na wanaotutawala
*Kaa kimya kama Diamond alivyokaa kimya na kuimba kawimbo kake kakiboya kakujinyenyekeza as if aliyepotea sio mwanamziki mwenzake*, ipo siku utapotea ww na wengine watakaa kimya kama ulivyokaa kimya ww
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
*#BringBack Roma na wenzake*
*#BringBack Ben Ben-Rabiu Wa Saanane*
[HASHTAG]#TeamNyalila2020[/HASHTAG] [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]