Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Sio utamaduni wa watanzania kuficha wenzao lazima ni Bashite kwa ruhusa ya IKULU
 
Huu mchezo wa kuficha watu ili kutujaribu uishe hawa wanamusic kuna kiongozi atakuwa aliwaficha na leo kawarudisha
 
Nasikia fulani na wenzake waliodaiwa kupotea eti wamepatika na wako sehemu fulani kukamisha mambo fulani.

Kama ni kweli,mbona hata picha zao hatuzioni.

Kweli kamanda fulani angeacha kujitokeza mbele ya waandishi akiwa na hao wahanga ili kupiga picha ya pamoja na hao wahanga kama ushahidi?

Hata ndugu zao wa karibu nao mpaka sasa wamezuiwa kuwaona?

Kama wamewaona,mbona nao wako kimya?

Inakuaje mpaka sasa hakuna update ya kueleweka.

Alafu inakuaje taarifa ya hao wahanga kupatikana isitolewa kuthibitishwe na wenye mamlaka na badala yake inatolewa na mwananchi wa kawaida tu?

Je,wanataka tu kutuliza mokari ya watu?

Mimi bado namashaka.
 
Hahahaha Daud Bashite ni jambazi, aibu kwa taifa kuwa na kiongozi anayeteka anaowaongoza
 
Kwani Faru anamtembelea Fausta? Mbona ana kiburi sanaa!??? Huyu Fausta? Anasumbua nchi huyu Fausta na gharama zake kwa siku na mwezi
 
Kabla ya jumapili kapatikana,Bashite atazidi kupanda chati.
 
Ngoja ifike saa moja hatujaona hata picha zao, tutajua tymechezewa kekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…