Nasikia fulani na wenzake waliodaiwa kupotea eti wamepatika na wako sehemu fulani kukamisha mambo fulani.
Kama ni kweli,mbona hata picha zao hatuzioni.
Kweli kamanda fulani angeacha kujitokeza mbele ya waandishi akiwa na hao wahanga ili kupiga picha ya pamoja na hao wahanga kama ushahidi?
Hata ndugu zao wa karibu nao mpaka sasa wamezuiwa kuwaona?
Kama wamewaona,mbona nao wako kimya?
Inakuaje mpaka sasa hakuna update ya kueleweka.
Alafu inakuaje taarifa ya hao wahanga kupatikana isitolewa kuthibitishwe na wenye mamlaka na badala yake inatolewa na mwananchi wa kawaida tu?
Je,wanataka tu kutuliza mokari ya watu?
Mimi bado namashaka.