Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,673
Hivi hajarudisha tu mkuu? Kweli bashite noma sanaa...Haya bashite umeshinda, ushapata kiki, ushaharibu attention ya mkutano wa NAPE huko mtama.. Rudisha flash ya clouds sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hajarudisha tu mkuu? Kweli bashite noma sanaa...Haya bashite umeshinda, ushapata kiki, ushaharibu attention ya mkutano wa NAPE huko mtama.. Rudisha flash ya clouds sasa.
Bashite ni jina halali la RCUnanitaja mimi wa nini!?
Na huyo uliyemuongelea mbona simfahamu
Mimi nasubiri kuona drama hii inaishia wapi, sina la zaidi l kuandika kwa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]afu kuna ushuzi unasema tukae kimya fakeni kabisa anajua msanii mwenzie alipo anatuletea drama fakeniKaamua kumtoa baada ya pressure kuwa kubwa alitaka amtoe usiku au kesho asubuhi kaona hali ni tete baada ya kusikia Tongwe wameleta mashehe toka pemba kuja kusoma Elibadili kaogopa kawatoa haraka.
Bashite alisema anadhani Roma atapatikana kabla ya Jumapili.
Wapelekeni watoto wenu shule wasijekosea na kukaa uchi mbele za watu hivi. (Kwa hisani ya Daudi Balali - Twitter)
huwa nakuheshim sana mkubwa, so na wewe niheshimu
ni hayo tu
Makonda Bashite kaogopa kisomo cha mashehe ndipo kamtoa haraka.Maigizo
Wakati mwingine matukio yakienda sambamba huweza kutengeneza uhusianoIna maana hata kutafsili picha huwezi au ni hizo posho unazopewa zimekupofusha? Inawezekanaje mtu akasema atahakikisha amepatikana kabla ya j2 na kweli amepatikana leo tusiwe wanafki kwa vitu vilivyo wazi
Ila siamini huu msafara ni vibaraka wa mrisho/"Mwanangu kuwa uyaone, peperusha bendera Viva Roma Viva, viva Roma Vivaa,nannaa nannaa weeee mama weeeeh chaapa ,tongwe records nannaaa nanaaa weeee, nimeshapigwa sana mkwara na jumbe za vitisho..................................."
Kumbe bado hujaacha bangi!?Kwahiyo leo Mbowe akisema Ben atapatikana, inamaana yeye ndie atakuwa kamshika au ni hizo posho mnazopewa na nyie?
Aisee cyanide mbona huwezi kutamba gata saa moja
Hhahhaha hawa jamaa sijui wamekula yamini gani.Mpaka watoke damu masikioni
Ni vizuri aulizwe!Makonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bashite nouma, naskia alikuwa kamficha kwa Dada yake cocochanel ?
Nipe elimu mkuu je jinsi ya kujikinga nayo ni vipi yaani ninywe maziwa au nibandike jiwe la nyoka?Inategemewa na ulivyowekewa na waliokuwekea wanataka ' Ufe ' lini. Naomba niishie hapa tafadhali!