Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Mmiliki wa Tongwe J.Mada usiku kaalika mashehe wengi toka Zanzibar na pemba ili leo wasome Elibadili kwa yeyote aliyefanya Utekaji huo, inasemekana Daud makonda amepata taarifa mapema kaamua kwenda kumtoa mafichoni haraka akihofia kupatwa na majanga kama yule makamu wa Rais kule Zanzibar.
 
Kaamua kumtoa baada ya pressure kuwa kubwa alitaka amtoe usiku au kesho asubuhi kaona hali ni tete baada ya kusikia Tongwe wameleta mashehe toka pemba kuja kusoma Elibadili kaogopa kawatoa haraka.
[emoji23][emoji23][emoji23]afu kuna ushuzi unasema tukae kimya fakeni kabisa anajua msanii mwenzie alipo anatuletea drama fakeni
bd0357332f233bd183a938d99910cfe4.jpg
 
Ina maana hata kutafsili picha huwezi au ni hizo posho unazopewa zimekupofusha? Inawezekanaje mtu akasema atahakikisha amepatikana kabla ya j2 na kweli amepatikana leo tusiwe wanafki kwa vitu vilivyo wazi
Wakati mwingine matukio yakienda sambamba huweza kutengeneza uhusiano
 
"Mwanangu kuwa uyaone, peperusha bendera Viva Roma Viva, viva Roma Vivaa,nannaa nannaa weeee mama weeeeh chaapa ,tongwe records nannaaa nanaaa weeee, nimeshapigwa sana mkwara na jumbe za vitisho..................................."
Ila siamini huu msafara ni vibaraka wa mrisho/
Si tulianza sote vita ya kuitetea Ikulu/
Leo unaisaliti ukawa kwenye sherehe za Uhuru/
Uhuru uko wapi
 
Back
Top Bottom