Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Vyeti muhimu bashite aache ushoga unaligharimu taifa na ni aibu kubwa kwa dunia.
 
duh...sawa....! nani kawapeleka police hapo....?
 
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.

Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.

Bado hakuna maelezo ya kutosha kuhusiana na wapi walipokuwa na nani waliokuwa wamewashikilia. Kwa sasa wanadaiwa kuwepo kituoni hapo kwa taratibu za kipolisi kwa kuwa jalada la kupotea kwao lilifunguliwa hapo.

Kupatikana kwao kumefuatia wito mkubwa uliokuwa ukipaishwa na wasanii wenzake na mashabiki kuhusu kuachiliwa huru, ndani na nje ya mitandao ya kijamii.

Awali, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro alisema bado walikuwa wakiendelea na upelelezi wa tukio la kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.

Taarifa zaidi zinafuata..

View attachment 492792
View attachment 492791
atakuwa ni mhalifu huyu,si ndio maana anaitwa J Murder?
basi kama ni kweli, yapswa tumhukuru mungu
 

Attachments

Yani kwa ufa fa fa fa fa Wa bashite na Makomeo wanafikiri wananchi hatujauelewa mchezo wao mchafu
Kweli hawana akili

Na headlines za kesho ni Nape alafu atafuata Roma

Mrudisheni na Ben saanane hata kama ni mwili wake
 
Kama alitunga sinema ya kumchafua Gwajima, akalazimisha irushwe hewan Hata pale ilipoonekana ni ya kutunga, anashindwaje kwa hili??
Zero on paper represents zero in brain
 
Hivi mamlaka zinasemaje kuhusu Ben ? Maana kama Roma aliahidiwa kabla ya jumapili je kwa ndugu yetu Ben ganzi ipo wapi
 
Daktar huru ampime polonium, sarin, cyanide, ricin tujue kama wamemtengua neva ya kutungia mistar na atuambie ilikuwaje huko
 
Sasa si bora aonyeshe vyeti tu kuliko mambo haya yote! Mbona easy tu.
 
Back
Top Bottom