Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini Vita ya madawa ya kulevya baadhi ya wasanii na viongozi wanatumikaNimeamini Bashite anahusika hatari sana....
Muda unaenda na sijajibiwa bado mkuuMkuu ukijibiwa maswali yako
Usikose kunishitua na Mimi.
Maana,ni maswali muhimu.
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Bado hakuna maelezo ya kutosha kuhusiana na wapi walipokuwa na nani waliokuwa wamewashikilia. Kwa sasa wanadaiwa kuwepo kituoni hapo kwa taratibu za kipolisi kwa kuwa jalada la kupotea kwao lilifunguliwa hapo.
Kupatikana kwao kumefuatia wito mkubwa uliokuwa ukipaishwa na wasanii wenzake na mashabiki kuhusu kuachiliwa huru, ndani na nje ya mitandao ya kijamii.
Awali, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro alisema bado walikuwa wakiendelea na upelelezi wa tukio la kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
basi kama ni kweli, yapswa tumhukuru munguatakuwa ni mhalifu huyu,si ndio maana anaitwa J Murder?
Kipara na mwanaeMmmmmmh hii movie sijui director nani??
hili swali hata mimi najiuliza, sijui wamefikaje hapo police stationduh...sawa....! nani kawapeleka police hapo....?
inashangaza sana....hili swali hata mimi najiuliza, sijui wamefikaje hapo police station
tungojee watasema nini?Serikali inahusika kabisa
exactly tunasubiri kuona wamejipangaje hapo katika maelezoNgoja tuone akili zao sasa