Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Hahaha hiyo ya moto chief
 
Pamoja sana oligarch
Asante The bold kwa kazi nzuri.wengine hatuishii kuburudika tu bali tunajifunza pia.hasa wale ambao tunafikiria kuwa kuna mambo huwa yanatokea kwa bahati mbaya.naomba ni add tena kwenye tag list yako mkuu.
 
Habibu B. Anga mm nilikua na ushauri tu japo inawezekana umeshashauriwa mara kwa mara, ni hivi, una kipaji Kikubwa sana cha uhandishi na namna ya kupangilia mtiririko wa story na hata kumfanya mtu anayesoma asiruke hata sentensi moja... Ushauri wangu, nadhani kama nia ya kuleta story humu ili ujulikane ishatimia kwa asilimia 100,hakuna asiyekujua humu au ku appreciate kipaji chako. Sasa nilikua nakushauri tumia hii fursa sasa kuanza kutoa vitabu na kuviuza kwa bei itakayokulipa faida, mmoja wa wateja wako wakuu takua mimi, tena kwa bei yoyote isiyozidi Milioni 1 kwa kitabu kimoja. Nimeona kiu ya kila mtu hata kule Insta watu wana kiu kubwa ya kusoma vitabu vyako...itakua jambo jema kama utalifanyia kazi hili.
 
Daah mpaka wazee Wa kina faiza foxy wanatagiwa mm sitagiwi au nna nyota ya bundi?
 
Naiona alama ya akina Ben R Mtobwa na Elivis Musiba ndani kwako Habibu B. Anga
May God bless you.
 
Nimesoma nakurudia mara 3 maelezo hayo natamani aongeze nyama nyingi
Binafsi yangu huwa naamini watu kupiga kura ni kuidhinisha maamuzi ya watu fulani ambao unakuta wamisha panga nani atakuwa rais wa nchi baada ya mtu fulani.
Na huwa ninawashangaa sana watu wanaosema magufuli ameokota embe dodo kutokana na ugomvi wa membe na lowassa kitu ambacho ni very wrong,kwa michezo inavyochezwa utaana ni hivyo lakini uhalisia huwa sio hivyo kabisa.
 
Kabisa mambo yalipangwa kitambo na staili ya kuileta ikaonekana kuna ugomvi kumbe sio tusubiri the bold aongeze nyama kidogo....
 
Kitabu kwa story zipi.....hizi story mbona zipo internet ila huyu jamaa anafanya kutafsiri tu...
 
Sehemu ya nane unitag
 
Mkuu Bold, usiache kutupa dodoso kwa nini Abarmovich amechukua uraia wa Israel, Itapendeza kama utagusia iwapo Israel ndiyo inayoongoza Kinyemela Marekani na Urusi kwa wakati mmoja!.

Je Abramovich alikuwa ni recruitted Mossad agent aliyekuwa akipewa mbinu toka alipoanza mpaka mwishoni na Mossad?

Je zile Video za Ngono ambazo Abramovich alizitumia kummaliza yule aliyetaka kumchunguza hakuzipata kwa Mossad ambayo inasemwa kuendesha michezo ya kuwavuta viongozi influential katika starehe mbalimbali kama vile ngono dhidi ya watoto, au ushoga na kisha kuwarekodi na kisha kuwablackmail viongozi hawa pindi wakienda against maslahi yao?

Nimesikia yule Epstein aliyekuwa akijihusisha na ring ya ngono kwa watoto wadogo inasemekana alikuwa ni Mossad agent na kazi yake ni kuwavuta watu influential katika mambo hayo kisha kuwarekodi kwa siri lakini baadae kuwablackmail ili wasiende kinyume na maslahi ya Israel!.
Na sasa wanasema amejinyonga Jela, lakini wengine wanandai amededishwa ili asije akamwaga siri au mambo yasije yakaenda yasivyotazamiwa?!

Unaweza kugusiagusia hili suala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…