Roman Catholic, KKKT na makanisa mengine makubwa, Vijana wanaosali kanisani kwenu ni ngumu sana kupata Wachumba kanisani, igeni mfumo wa Wasabato SDA

doh aysee
 
Ukiwa maskini hata usali kila siku makanisa yote hupati mke au utaoa atakukimbia, hata uende misa zote Jpili hata wasichana hawakutaki ng’oo

Tafuta hela alafu ndio utafute mchumba wa kuoa, kijana weka uchumi wako vizuri ndoa inakuja haraka tu.
 
Hata mimi nawaza hii kitu umenena vyema
 
link kaka
 
Watu mna mambo kweli kweli, eti dating cycle ya kisabato all the way mtoa Mada ametoa ushauri mzuri kwa makanisa makubwa ya kijumapili waige kutoka sda namna ya kufanya interaction ya vijana wa kike na kiume lwepo makanisani kwanza catalyst italeta ladha ya vijana kuhudhuria ibada na matokeo yatakuwa ni kuoana miongoni mwao.
 
Ndoa ya Club
Utajua hujui, mke mwema hamtoi kanisani Master, mbona mimi nina dem kila dhehebu na wanaolewa kila siku na waswali wenzao afu hatujaachana wala nini na nina mchango mkubwa sana katika kutatua migogoro ya ndoa zenu hamjui tu.
 
Utajua hujui, mke mwema hamtoi kanisani Master, mbona mimi nina dem kila dhehebu na wanaolewa kila siku na waswali wenzao afu hatujaachana wala nini na nina mchango mkubwa sana katika kutatua migogoro ya ndoa zenu hamjui tu.
Sawa mkuu nimekuelewa,
 
Mke hatafutwi jiongezee thamani kama mwanaume watakusumbua sana utawambato mpaka utachoka. Hili ina apply kwa wanawake wote duniani.
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…