Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

[emoji16][emoji16],,,NATO and UKRAINE are losing this war, UKWELI unaujua kabisa kwamba Ukraine mambo hayaendi ....... It is time for you to pray for peace .... ...You will never win this war , Unless God has decided to help you, NATO , USA and EUROPE will never help you WIN THIS WAR .......

Pray for Peace

Nilitegemea Ukraine kuzikwa ndani ya wiki moja, leo mwaka unaisha bado mnatupigishia haya makele.
 
Supapawa wa mchongo tulimuogopa, tulikua na uhakika ataifunika Ukraine kwa wiki moja, leo hii amepoteza wanajeshi kama senene, ameishia kugombea tumiji twa huko mpakani na hapo anasaidiwa hadi na Iran, Syria, Chechen, Korea Kaskazini, wafungwa, vijana mateja mitaani...
Ukraine kwa wiki moja??...hivi unafikiri Ukraine ni KINONDONI ...Li nchi lote lile ulifunike kwa wiki moja??Hiyo ingekuwa ni vita..au mashindano ya magari..??

Hayo mahesabu yenu na uhakika wenu ulikua wa mchongo....

Russia kapigana Chechniya for 10 yrs..tena hapo na waasi tu...Sembuse nchi nyingine tena iliyojiandaa na inapata misaada kibao kutoka nchi zenye nguvu???
Hakuna vita vya hivyo

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Intuition naona mfumo umeziuia kukujibu hapo na kama ilivyo kawaida yangu huwa siwaachi.... nakujibu hapa
Ule msafara wote ulikua unakwenda kufanya utalii?? Limsafara la 64km lilifyekwa na wabeba javelin, wote tulikua humu nilikua naweka nyuzi kila siku namna Warusi wanafyekwa huku mkisema ni propaganda, mkiendelea kutuaminisha Kyev inaanguka.....hehehe leo mnakuja na ngonjera zingine.
 
Back
Top Bottom