Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

Anajutia Nini wakati part of Ukraine ameikalia.

Kaiharibu haribu Ukraine imekuwa kama Syria...
Hiyo part inaendelea kumtokea puani, mpaka sasa ameingia hasara mithili ya uunganishe jeshi la JWTZ, KDF, Uganda, Rwanda, Burundi wote pamoja wafyekwe hadi na military inventory zao zote zitiwe kiberiti, imembidi kufuata wafungwa wamsaidie, na wanywa gongo mtaani.
 
Unacherry pick, sasa ulifikiri Russia alienda ukraine picknik?, Walienda vitani, na vitani watu hupigana,, wote tulishuhudia Russia akiukamata uwanja mkuu wa ndege wa Antonov...
wacha blah blah blah we mzee ule msafara ulikutana na kipigo cha mbwa koko warussi wakakimbia mbona hawaja wahi kurudi tena uko kyiv baada ya wakat ule
 
Hiyo part inaendelea kumtokea puani, mpaka sasa ameingia hasara mithili ya uunganishe jeshi la JWTZ, KDF, Uganda, Rwanda, Burundi wote pamoja wafyekwe hadi na military inventory zao zote zitiwe kiberiti, imembidi kufuata wafungwa wamsaidie, na wanywa gongo mtaani.

Nani ambaye hakujui kwamba wewe ni paid troll wa media za magharibi kazi yako ni kuweka chachandu kwa mambo ambayo wala huyajui vizuri

Juzi juzi hapa Secretary General wa NATO anasema kwa kauli yake mweyewe kwamba jeshi la Urusi likihamua kufanya kweli Ukraine nzima haitakalika na hata NATO/US walisha kiri adhalani kwamba hawana ubavu wa kuingia vitani moja kwa moja na Urusi - sasa wewe mswahili wa Kaliobangi ndio ujifanye unajua vizuri nguvu na uwezo wa jeshi la Urusi kuliko NATO Secretary General, Amerika yenyewe na baadhi ya viongozi wa EU wenye akili timamu wanajua vizuri kwamba kutaka kujiingiza vitani na Russia ni kujitafutia balaa tu.
 
Nani ambaye hakujui kwamba wewe ni paid troll wa media za magharibi kazi yako ni kuweka chachandu kwa mambo ambayo wala huyajui vizuri

Juzi juzi hapa Secretary General wa NATO anasema kwa kauli yake mweyewe kwamba jeshi la Urusi likihamua kufanya kweli Ukraine nzima haitakalika...
Afadhali sasa umeandika insha ya Kiswahili, hicho kiarabu ulichokua umeandika nisingekielewa, hata hivyo kichapo kiko pale pale.
 
Na bado hawajaanza kuikabili na tayari imelemazwa na kataifa ambako hakako hata kwenye hiyo NATO...
Unapimaje kuelemewa.??....mtu yuko kwako kaishakuvunja mkono...anachukua mali zako..wewe unasema ameelewa kisa ulifikiri alipaswa awe kakubaka kabisa na kukuvunja shingo...??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Supapawa wa mchongo tulimuogopa, tulikua na uhakika ataifunika Ukraine kwa wiki moja, leo hii amepoteza wanajeshi kama senene, ameishia kugombea tumiji twa huko mpakani na hapo anasaidiwa hadi na Iran, Syria, Chechen, Korea Kaskazini, wafungwa, vijana mateja mitaani...
 
Mrusi keshasogelewa vya kutosha, tena anashikwa hadi kidevu, kwa sasa hawezi akajifanya kama ambaye anajikuna, haya mavitu yanawekezwa Romania yenye uwezo wa kusambaratisha meli zake huko huko katikati mwa bahari.

Kwa sasa hana jeuri ya kusema chochote maana amedhihirisha alivyo dhaifu baada ya kuaibishwa na kataifa kadogo ka Ukraine.

Romania will acquire mobile coastal anti-ship missile batteries from American aerospace and defense company Raytheon to defend its Black Sea coastline. The company was awarded the USD 208 million contract by the Pentagon.

Raytheon and Norwegian company Kongsberg will provide Romania with an unspecified number of Naval Strike Missile Coastal Defense Systems. The overall value of the deal is estimated at around USD 217 million, according to a Pentagon announcement cited by the US Naval Institute. The arms will be manufactured at Raytheon’s facility in Tucson, Arizona, and Norway, and will be completed in 2028.

Romania has a 160-kilometer coastline to the Black Sea, where the Russian navy is active. According to a 2021 report from Norwegian engineering magazine Teknisk Ukeblad, the deal would pay for two coastal defense systems that would amount to four mobile launchers and two command and control nodes for the batteries.

The batteries are capable of targeting small and light ships made of Glass Fiber Reinforced Plastics (GFRP) and large naval combatants like destroyers and frigates and ships with thick hulls like icebreakers.

The U.S. and Romania signed a foreign military sales agreement in 2021 to acquire the Naval Strike Missile Coastal Defense System. In addition to Norway and the U.S., Poland currently uses the NSM as well. Australia, the United Kingdom, Canada, the Netherlands, Spain, Malaysia, and Germany also plan to use the missiles.

Initially developed for the Royal Norwegian Navy, the NSM anti-ship missile has a range of more than 100 nautical miles.
Mwandiko wa mwana upinde huu
 
Ngoja nikuweke sawa kidogo,, jiulize tu,, kwanini Russia aliamua kutumia wagner, mara baada ya kurudisha msafara wa kiev?

Ni kwamba jeshi halisi la Russia lilitua viunga vya kiev ndani ya saa 6 baada ya paratrooper wake kudrop Antanov airport.

Sawa walikuta kumbe marekani kawatonya ukraine, kile kikosi cha paratroopers kilikuta ambush, Russia walishindwa jaribio la kwanza kuteka airport, na walirudishwa nyuma, ambako walijikusanya na kurudi kesho yake na kuuteka uwanja wa Antoniv.

Kisha askari wa Russia, landforce wakaanza kumiminika uelekeo wa kiev.

Then ule msafara ndani ya wiki ukasmuliwa kurudi nyuma hadi khakiv,, warusi wakarudi nyuma na wakauachia uwanja.

Ndiposa tukaanza kusikia habari za wagner, chechniya, etc.

Hao askari wa Urusi, wamepotelea wapi? [emoji847]
Walikufa wote Hawa
 
Mrusi keshasogelewa vya kutosha, tena anashikwa hadi kidevu, kwa sasa hawezi akajifanya kama ambaye anajikuna, haya mavitu yanawekezwa Romania yenye uwezo wa kusambaratisha meli zake huko huko katikati mwa bahari.

Kwa sasa hana jeuri ya kusema chochote maana amedhihirisha alivyo dhaifu baada ya kuaibishwa na kataifa kadogo ka Ukraine.

Romania will acquire mobile coastal anti-ship missile batteries from American aerospace and defense company Raytheon to defend its Black Sea coastline. The company was awarded the USD 208 million contract by the Pentagon.

Raytheon and Norwegian company Kongsberg will provide Romania with an unspecified number of Naval Strike Missile Coastal Defense Systems. The overall value of the deal is estimated at around USD 217 million, according to a Pentagon announcement cited by the US Naval Institute. The arms will be manufactured at Raytheon’s facility in Tucson, Arizona, and Norway, and will be completed in 2028.

Romania has a 160-kilometer coastline to the Black Sea, where the Russian navy is active. According to a 2021 report from Norwegian engineering magazine Teknisk Ukeblad, the deal would pay for two coastal defense systems that would amount to four mobile launchers and two command and control nodes for the batteries.

The batteries are capable of targeting small and light ships made of Glass Fiber Reinforced Plastics (GFRP) and large naval combatants like destroyers and frigates and ships with thick hulls like icebreakers.

The U.S. and Romania signed a foreign military sales agreement in 2021 to acquire the Naval Strike Missile Coastal Defense System. In addition to Norway and the U.S., Poland currently uses the NSM as well. Australia, the United Kingdom, Canada, the Netherlands, Spain, Malaysia, and Germany also plan to use the missiles.

Initially developed for the Royal Norwegian Navy, the NSM anti-ship missile has a range of more than 100 nautical miles.
[emoji16][emoji16],,,NATO and UKRAINE are losing this war, UKWELI unaujua kabisa kwamba Ukraine mambo hayaendi ....... It is time for you to pray for peace .... ...You will never win this war , Unless God has decided to help you, NATO , USA and EUROPE will never help you WIN THIS WAR .......

Pray for Peace
 
Back
Top Bottom