Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

Hiv unajua mpaka sasa mageneral wangap wa kirusi wameuwawa wewe au unaongea tu.
Kuuawa general sio ishu,, isitoshe general wa Russia anaenda front, huwezi linganisha na general wa marekani anaebaki nyuma.

Russia wako na endurance, they can take casualties na wakasonga mbele, nchi za magharibi hawawezi kutake casualties
 
Kuuawa general sio ishu,, isitoshe general wa Russia anaenda front, huwezi linganisha na general wa marekani anaebaki nyuma,
Russia wako na endurance, they can take casualties na wakasonga mbele, nchi za magharibi hawawezi kutake casualties
We kijana mweupe kweli yaan wataalam wa vita wanauwawa unasema sio inshu. Na unavyosikia reserve ni watu walioacha jeshi kwa kustaafu na sababu mbalimbali lakin pia na raia wa kawaida ambao wanaweza kufundishwa na kutumika jeshini.
 
We kijana mweupe kweli yaan wataalam wa vita wanauwawa unasema sio inshu. Na unavyosikia reserve ni watu walioacha jeshi kwa kustaafu na sababu mbalimbali lakin pia na raia wa kawaida ambao wanaweza kufundishwa na kutumika jeshini.
Wamekufa general miangapi bosi?
 
Kama moskva ilishushwa kizembe vile, tena ndo meli bora ya russia, sidhani kama kuna mende anaweza akabaki salama huko baharini endapo US akaamua kumshusha.
It is just a matter of timing,, mbona hezbollah walilipua meli vita ya israel kwa kombora kirahishi tu,,
Katika vita ujue ukifanyiwa timing,, utapigwa tu
 
Marekani hawezi mpa ukraine, long range missiles, ama kuhusu Russia kuishiwA majeshi, sidhani,, Russia anapiganisha migambo wa luhansk, donesk, chechniya na wagner,,
So jiulize, jeshi la Russia, la watu karibu 900,000 active force, liko wapi... 🤷‍♂️

Hao 900,000 ndio majigambo tuliokua tunaskia miaka yote, nilikua naogopa Urusi sana, kwanza walipoanza kuparamia Ukraine nikajua ndio mwisho wa Ukraine, hata Putin alimpa Zelesky 24 hours aihame Ukraine, aisei ikaja kuwa kioja cha mwaka,

leo wanagombania tumiji twa huko mpakani, na Urusi ameishiwa mpaka anafuata wanywa gongo mitaani na wafungwa, useless kabisa, sasa huyo ndiye eti angepambana na jeshi la NATO.

Nilisoma sehemu hao mamluki wa Wagner wanataka kutuma wanawake wakapigane pia, hali inazidi kuwa ngumu, Putina amesaidiwa na Chechnya, Syria, Iran hadi Korea Kaskazini na bado anaishiwa...
 
Hao 900,000 ndio majigambo tuliokua tunaskia miaka yote, nilikua naogopa Urusi sana, kwanza walipoanza kuparamia Ukraine nikajua ndio mwisho wa Ukraine...
Ngoja nikuweke sawa kidogo,, jiulize tu,, kwanini Russia aliamua kutumia wagner, mara baada ya kurudisha msafara wa kiev?

Ni kwamba jeshi halisi la Russia lilitua viunga vya kiev ndani ya saa 6 baada ya paratrooper wake kudrop Antanov airport.

Sawa walikuta kumbe marekani kawatonya ukraine, kile kikosi cha paratroopers kilikuta ambush, Russia walishindwa jaribio la kwanza kuteka airport, na walirudishwa nyuma, ambako walijikusanya na kurudi kesho yake na kuuteka uwanja wa Antoniv.

Kisha askari wa Russia, landforce wakaanza kumiminika uelekeo wa kiev.

Then ule msafara ndani ya wiki ukasmuliwa kurudi nyuma hadi khakiv,, warusi wakarudi nyuma na wakauachia uwanja.

Ndiposa tukaanza kusikia habari za wagner, chechniya, etc.

Hao askari wa Urusi, wamepotelea wapi? 🤗
 
Sio issue kivile,, nchi kama syria kwa mfano, ishapoteza majeneral wengi tu, hao watu ni replaceable
Ndio maana nikakuambia we ni mweupe. Unafikir vyeo unagawiwa tu sio. Kama hujui hata reserve ni pamoja na wewe unaechati hapa cku nchi yako ikipigana nafikir unadhan ni watu flan wamekusanywa mahali. Achana na mambo usiojua Chief
 
Ndio maana nikakuambia we ni mweupe. Unafikir vyeo unagawiwa tu sio. Kama hujui hata reserve ni pamoja na wewe unaechati hapa cku nchi yako ikipigana nafikir unadhan ni watu flan wamekusanywa mahali. Achana na mambo usiojua Chief
Genaral anakuwa na second in comand,, i mean kuna chain of command
 
Ngoja nikuweke sawa kidogo,, jiulize tu,, kwanini Russia aliamua kutumia wagner, mara baada ya kurudisha msafara wa kiev?,,
Ni kwamba jeshi halisi...
Mbona unaandika riwaya kama ambao hatukua humu humu, alirudisha msafara wapi wakati tulishuhudia ukifyekwa,

Nikiamua kupoteza muda humu ninaweza nikakuandikia a long list of all the things that went wrong in this invasion, itaandikwa kwenye vitabu vya historia kama mojawapo wa catastrophic military mistake kiwango ambacho hakijatokea kwa muda mrefu....inanikumbusha Battle of Stalingrad
 
putin sio mtu yani katoa kafara mateja 400 yasiyokuwa na mafunzo uko vitani unaingia insta live kujipnyesha uko vitani.

Damu zenye hatia zinamwagika pasipo sababu kisa mtu andunje.
 
Genaral anakuwa na second in comand,, i mean kuna chain of command
Wale jamaa hawateuliwi tu kuna utaalam au misheni flan wameifanya so elewa akifa sio kwamba jeshi halitapigana ila unaishiwa wataalam wa vita sio jeshi. Vita ni sanaa Mzee.

Unaisomea kabisa. Unaweza kuja na jeshi kubwa na vifaa bora ukatandikwa tu. So kwanza kumpoteza General katikat ya mapigano ina hadhari kisaikolojia kwa wapiganaji achilia tu utawala.
 
Hiyo ilikuwa ni ile Urussi ya zamani Almaarufu kama USSR na ndo ilikuwa kiranja wa kambi ya mashariki au nchi za kijamaa. Hii Urussi ya sasa hivi ni nchi moja ijulikanayo kama Russia na imechoka mno.
Kama imechoka kwanini NATO bado ipo?
 
Mbona unaandika riwaya kama ambao hatukua humu humu, alirudisha msafara wapi wakati tulishuhudia ukifyekwa, nikiamua kupoteza muda humu ninaweza nikakuandikia a long list of all the things that went wrong in this invasion, itaandikwa kwenye vitabu vya historia kama mojawapo wa catastrophic military mistake kiwango ambacho hakijatokea kwa muda mrefu....inanikumbusha Battle of Stalingrad
Screenshot_20230107-173001.png
 
Back
Top Bottom