Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

Screenshot_20230107-173133.png
 
Kwenye huu mtanange naona hujaamua kuwa chawa mkuu
Mambo bado kuanza rasmi,, sitaki kujichosha,, afaghnistan nimeongea hiyo ishu kwa miaka 2o net, nilisema tangu day one, US atakimbia afaghnistan, ndicho kilichotokea,
Sitaki kujichosha sana tena😂
 
Hahaha ndio nini hii...ukitaka tuwekeane mapich humu mbona tutajaza server ya watu bure.... Ona zilivyokua zinapigwa
3275.jpg
Unacherry pick, sasa ulifikiri Russia alienda ukraine picknik?, Walienda vitani, na vitani watu hupigana,, wote tulishuhudia Russia akiukamata uwanja mkuu wa ndege wa Antonov,

wote tulishuhudia msafara wa km 40 wa magari ya kijeshi ya Russia yakiwa yamepaki nje ya mji wa mkuu wa ukraine, kwa takribani wiki na ushee, mpaka watu wakawa wanashangaa nini kinaendelea, in short jesh la Russia walikua wanagonja order ya ku proceed kuingia kiev.

Amri iliyotoka ni Pull back,, change of plan
 
Unacherry pick, sasa ulifikiri Russia alienda ukraine picknik?, Walienda vitani, na vitani watu hupigana,, wote tulishuhudia Russia akiukamata uwanja mkuu wa ndege wa Antonov,, wote tulishuhudia msafara wa km 40 wa magari ya kijeshi ya Russia yakiwa yamepaki nje ya mji wa mkuu wa ukraine, kwa takribani wiki na ushee, mpaka watu wakawa wanashangaa nini kinaendelea, in short jesh la Russia walikua wanagonja order ya ku proceed kuingia kiev,
Amri iliyotoka ni Pull back,, change of plan
Nilikuwa nakuona jembe mzee mwenzangu, kumbe na wewe ni chawa kama Bukyanagandi
 
Wamesahau kuzifunga maiti za wenzao vitambaa vya njano na blue ili tujue ni Ukraune.
Ila nadhani wamejisahau mara moja tu. Ni makosa vumilivu
Ha ha, hapo ni soleder,, hiyo ishu ya jana
 
Unacherry pick, sasa ulifikiri Russia alienda ukraine picknik?, Walienda vitani, na vitani watu hupigana,, wote tulishuhudia Russia akiukamata uwanja mkuu wa ndege wa Antonov,, wote tulishuhudia msafara wa km 40 wa magari ya kijeshi ya Russia yakiwa yamepaki nje ya mji wa mkuu wa ukraine, kwa takribani wiki na ushee, mpaka watu wakawa wanashangaa nini kinaendelea, in short jesh la Russia walikua wanagonja order ya ku proceed kuingia kiev,
Amri iliyotoka ni Pull back,, change of plan
Usipunguze Km, ni msafara wa Km 64 za askari wa mbolea na delaya zao, ingawa kwa sasa wale askari tayari wameshatumika kurutubisha udongo wa ardhi ya Ukraine.
 
MATAIFA zaidi ya 30 yaliunda NATO ili kuikabili Urusi, hii inaonesha kiasi gani Urusi sio mtu wa mchezo.
Kichekesho zaidi Secretary General wa NATO juzi kaionya Merikani pamoja washirika wake bendera fuata upepo (NATO) kwamba jeshi la Urusi si la kuchukulia poa hata kidogo - lakini bado wapo waswahili wachache bado wanataka kubishana hata na maoni ya S.G wa NATO - wanasumbuliwa na mawazo mgando kwamba NATO/US wana uwezo mkubwa wa kuteketeza jeshi lote la Urusi na Urusi yenyewe kirahisi sana!!
 
Marekani hawezi mpa ukraine, long range missiles, ama kuhusu Russia kuishiwA majeshi, sidhani,, Russia anapiganisha migambo wa luhansk, donesk, chechniya na wagner. So jiulize, jeshi la Russia, la watu karibu 900,000 active force, liko wapi... 🤷‍♂️
Mobilisation ya nini sasa kama ana askari wote hao ?
 
Mobilisation ya nini sasa kama ana askari wote hao ?
Mobilisation iliyofanyika ni moja tu, wakati ukraine washafanya zaidi ya mara tano,,
Hata enzi za vita vya kagera, watu walikua mobilised, na ndo walikua wa kwanza kwanza kupelekwa front😂
 
Mobilisation iliyofanyika ni moja tu, wakati ukraine washafanya zaidi ya mara tano,,
Hata enzi za vita vya kagera, watu walikua mobilised, na ndo walikua wa kwanza kwanza kupelekwa front😂
Kwa idadi ya 900,000 bado na mobilisation tena ?....au Warusi walitaka wa kuwatoa kafara huko Frontline ?
 
Back
Top Bottom