Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi


Nilitegemea Ukraine kuzikwa ndani ya wiki moja, leo mwaka unaisha bado mnatupigishia haya makele.
 
Ukraine kwa wiki moja??...hivi unafikiri Ukraine ni KINONDONI ...Li nchi lote lile ulifunike kwa wiki moja??Hiyo ingekuwa ni vita..au mashindano ya magari..??

Hayo mahesabu yenu na uhakika wenu ulikua wa mchongo....

Russia kapigana Chechniya for 10 yrs..tena hapo na waasi tu...Sembuse nchi nyingine tena iliyojiandaa na inapata misaada kibao kutoka nchi zenye nguvu???
Hakuna vita vya hivyo

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Intuition naona mfumo umeziuia kukujibu hapo na kama ilivyo kawaida yangu huwa siwaachi.... nakujibu hapa
Ule msafara wote ulikua unakwenda kufanya utalii?? Limsafara la 64km lilifyekwa na wabeba javelin, wote tulikua humu nilikua naweka nyuzi kila siku namna Warusi wanafyekwa huku mkisema ni propaganda, mkiendelea kutuaminisha Kyev inaanguka.....hehehe leo mnakuja na ngonjera zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…