Rombo: Kisa mgogoro wa mapenzi Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto

Rombo: Kisa mgogoro wa mapenzi Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto

vi
Angekuwa mpiga nyeto kama mm ungekuta muda huu amejifungia ndani anakirusha kimoja cha nguvu na kubaki na afya tele.

Kweli tatizo la akili lipo serious, naiamuru serikali kuingilia kati suala hili na kuhakikisha kila mwananchi anapiga nyeto.

Ndugu yangu dronedrake inabidi elimu ya upigaji nyeto tuisambaze nchi nzima ili kuokoa vizazi vijavyo
vizazi vijavyo vitatoka wapi?....❗❗🥴🤔🤔🤣
 
Kuna mtu humu alitoa maoni yake akisema , kabla ya mtu kuingia kwenye mahusiano lazima wapimwe afya ya akili ili kudhibitisha SANITY au utimamubwa akili zao.
ni sahihi,... vipi tena NDOA ikiwa ndo chanzo cha afya ya AKILI...?
 
Kujisalimisha kwa mwenyezi kwa asilimia mia ni kama kufanyaje
Kuacha Dhambi, kuishi Maisha Matakatifu, ila hatuwezi kuacha Dhambi Kwa Akili zetu, ila Kwa msaada wa Mungu inawezekana, ili Mungu akuwezeshe kushinda Dhambi ni lazima kujisalimisha kwake 1,000%.
 
Kuacha Dhambi, kuishi Maisha Matakatifu, ila hatuwezi kuacha Dhambi Kwa Akili zetu, ila Kwa msaada wa Mungu inawezekana, ili Mungu akuwezeshe kushinda Dhambi ni lazima kujisalimisha kwake 1,000%.
Ubarikiwe kaka 🙏
 
Back
Top Bottom