mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Noma sanaWanandoa wanapitia wakati mgumu sana. Labda tuwasikilize ndugu Liverpool VPN na dronedrake wanaweza kuwa na maoni tofauti.
Ova
Noma sanaWanandoa wanapitia wakati mgumu sana. Labda tuwasikilize ndugu Liverpool VPN na dronedrake wanaweza kuwa na maoni tofauti.
Dah umeifanya asubuhi yanguMkewe alikuja kusema baada ya police kuja kufanya uchunguzi mana alisema mumewe alisema atajinyonga kisa anamnyima unyumba yy hawez toka nje ya ndoa kuzini mke akaona masihara utajinyonga kisa nimekunyima uchi tu hee asubuh mke akakuta mume kajining'iniza yaan mke analia toka jana mpk sasa tushazika ila analia tu anasema angejua angempa yote afanye anavotaka aichakate anavyotaka dah watu wanalia wengine tunacheka tunasema inabid utupe sisi tuichakate sasa
Umemuita aje awakosoe walimu au yeye ndiyo huyo aliyejijehenam?
Mara ya pili ulitumia nini mkuu?Tena kwa kujichoma moto... Nakumbuka mara ya kwanza kujiua nilitumia sumu kwa uoga
Kwani polepole anasemajeWanandoa wanapitia wakati mgumu sana. Labda tuwasikilize ndugu Liverpool VPN na dronedrake wanaweza kuwa na maoni tofauti.
Hili tukio kuna namna ukweli wake umefichwa, ni ngumu sana mtu kujichoma moto mpaka akaiva hadi akafa haijalishi hata kama ana changamoto ya afya ya akili vipi..kweli/ ingekuwa sumu sawa, lakini moto! Jaribu kwanza kiberiti jichome kidogo, sasa ndo iwe ndani ya nyumba
Wap huko kajiua😩😩😩😩 dah nasikitika kuna jirani yangu kajiua jana kisa kanyimwa unyumba na mkewe mwezi mzima sasa sielew inakuwaje ajinyonge tena
MOrogoro hukuWap huko kajiua
Kujisalimisha kwa mwenyezi kwa asilimia mia ni kama kufanyajeKuna Watu Wana access na Ulimwengu wa Roho...!
Watu wa Nuru na Watu wa Giza wote wako na access ya Ulimwengu wa Roho.
Ulimwengu wa Roho ni soko huria, Yeyote mwenye ujuzi, Elimu na Uwezo anaweza ku switch Toka Ulimwengu huu kwenda Ulimwengu wa Roho.
Shetani na Agents wake Usiku mchana Wana kazi kuzuia Binadamu kumuabudu Mungu atatumia Kila njia kuzuia.....!
Nakupa mfano Mdogo ili uelewe....!
Hata hatujazaliwa Shetani anajua Kuna mtoto atazailiwa na familia Fulani, na huyo Mtoto akiwa Mkubwa atakua Mtumishi mkubwa wa Mungu ambaye atasumbua sana Ufalme wa Giza.
Kazi ya kwanza Shetani atafanya kupitia Agents wake, sio tu kuzuia huyo Mtoto asizaliwe, ila kuhakikisha Mimba haitungwi, na ili lifanikiwe inabidi hiyo Ndoa ivunjwe ilishindikana, inabidi Wazazi wote wafe ama mmoja afe...! Wakifanikiwa means mtoto hatazaiiwa.
Wakishindwa, Mimba ya Mtoto itakua kwenye matatizo, na akizaliwa atakua kwenye Matatizo mpaka pale akijitambua yeye ni nani....!
Nimekupa mfano mdogo tu wa mambo yalivyo kwenye Ulimwengu wa Roho, Sasa kuzuia yote hayo lazima uwe mtu wa Kiroho,uliyejisarimisha Kwa Mungu 1,000% na Mungu atakupa njia na Mwongozo.
🤣🤣🤣utakuwa immortal wwTena kwa kujichoma moto... Nakumbuka mara ya kwanza kujiua nilitumia sumu kwa uoga
Further explanation?you can't fill a cup which already full
Me nitajiua kwa ajiri yakoHuu ujasiri wa kujiua watu wanatoa wapi
#rip
Unafaa viboko😂😂😂😂😂Me nitajiua kwa ajiri yako
Kwema lakini my darlingUnafaa viboko😂😂😂😂😂
NitafuteKwema lakini my darling