Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 1,201
- 2,705
Wakati wote mnashangaa kwanini watu wanajiua mimi naenda extra miles kwa kushangaa mtu anawezaje kujiua kwa moto, kifo cha mateso sana!
Mara 2½Ulishajiua mara ngapi mkuu?
Hakuna cha kupoteza hawa ndiyo wezi wa kura wakishirikiana na TISS na polisi. Ukiwauliza wanakwambia wana viapo.Wanandoa wanapitia wakati mgumu sana. Labda tuwasikilize ndugu Liverpool VPN na dronedrake wanaweza kuwa na maoni tofauti.
Kuna Watu Wana access na Ulimwengu wa Roho...!More details pls🙏
R.I.P Good Man.
Mkuu unakuta Alikopa Mkopo kwa Mshahara wanapanga na Mke wake wafanye maendeleo. Harafu Mwanamke pesa anaenda kuhonga kwa wasimamia kucha. Inauma sana.Yaan mtu una ajira yako unajiua kisa mapenzi? Mimi nikitegemea watu wajiue kisa ugumu wa maisha
Watu kama akina Busu la Kenge hata pa kulala hawana lakin huwezi Kuta wamejiua
Wendawazimu wewe na huyo muhuni mwenzio..Sasa apo nyeto imeingiaje..?Angekuwa mpiga nyeto kama mm ungekuta muda huu amejifungia ndani anakirusha kimoja cha nguvu na kubaki na afya tele.
Kweli tatizo la akili lipo serious, naiamuru serikali kuingilia kati suala hili na kuhakikisha kila mwananchi anapiga nyeto.
Ndugu yangu dronedrake inabidi elimu ya upigaji nyeto tuisambaze nchi nzima ili kuokoa vizazi vijavyo
Kouma tamu, ndo mana Yanga wamesajili
Wahi Mirembe ukatibiwe hicho kichaa chako.Hakuna cha kupoteza hawa ndiyo wezi wa kura wakishirikiana na TISS na polisi. Ukiwauliza wanakwambia wana viapo.
Mungu amuweke anapostahili
Eti kwa shetani!Huu ujasiri w kujiua watu wanatoa wapi
#rip
Polisi nao chenga sana wamekuwa hawana tofauti na Yale magazeti ya udaku hakuna professionalism kabisa wanaporipoti haya matukio yaan wanachoambiwa ndio hicho hicho wanachoripoti hakuna kabisa kuumiza vichwa na kutoa majibu ya kiwelediAFYA YA AKILI
AFYA YA AKILI
AFYA YA AKILI
Hakuna cha mapenzi hapo
Tulia mkuu, em kunywa maji mengi na hakikisha ni masafi na salama.Wendawazimu wewe na huyo muhuni mwenzio..Sasa apo nyeto imeingiaje..?
Jf ukifa kwa stress unajitakia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti marehemu wapone haraka walejee kwenye majukumu yao ya kilasiku
😂Jf ukifa kwa stress unajitakia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti marehemu wapone haraka walejee kwenye majukumu yao ya kilasiku