Rombo: Kisa mgogoro wa mapenzi Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto

Rombo: Kisa mgogoro wa mapenzi Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto

Mlijuaje sababu ya kujiua kwake ni kunyimwa unyumba?!!
Mkewe alikuja kusema baada ya police kuja kufanya uchunguzi mana alisema mumewe alisema atajinyonga kisa anamnyima unyumba yy hawez toka nje ya ndoa kuzini mke akaona masihara utajinyonga kisa nimekunyima uchi tu hee asubuh mke akakuta mume kajining'iniza yaan mke analia toka jana mpk sasa tushazika ila analia tu anasema angejua angempa yote afanye anavotaka aichakate anavyotaka dah watu wanalia wengine tunacheka tunasema inabid utupe sisi tuichakate sasa
 
Kuna mtu humu alitoa maoni yake akisema , kabla ya mtu kuingia kwenye mahusiano lazima wapimwe afya ya akili ili kudhibitisha SANITY au utimamubwa akili zao.
 
Mkewe alikuja kusema baada ya police kuja kufanya uchunguzi mana alisema mumewe alisema atajinyonga kisa anamnyima unyumba yy hawez toka nje ya ndoa kuzini mke akaona masihara utajinyonga kisa nimekunyima uchi tu hee asubuh mke akakuta mume kajining'iniza yaan mke analia toka jana mpk sasa tushazika ila analia tu anasema angejua angempa yote afanye anavotaka aichakate anavyotaka dah watu wanalia wengine tunacheka tunasema inabid utupe sisi tuichakate sasa
Noma sana
 
Nyeto ni safe.
Sio kweli..Mbegu huwa inapandwa... Either kwenye udongo,,ama sehemu sahihi ya kupanda mbegu...Mbegu yako angalau itendee Haki Kwa kuimwaga mahali pake..Ambapo itakufa Kwa sababu nyingine Ila sio Kwa sababu imekuwa disposed as a garbage...Do sex and ejaculate inside vagina...There you will honour your valuable sperm...Nyeto ni ukatili dhidi ya mbegu zako za thamani...Pia ni matumizi mabaya ya mbegu yenye thamani kuliko mbegu zote hapa duniani.
 
mnaona sasa vichaa wanazidi kujiua hali ni mbaya sana tanzania maana wanaougua tatizo la afya ya akili ni wengi.
 
Roho kama hizi zisizotimiza makusudi yake na kuondoka kwa uchungu hurandaranda kudai haki

Mtafute huyo mwenza wake Baada ya miaka 5 au 10 utamhurumia, japo anaweza kuwa anaishi lakini utafahamu wazi anatamani afe
 
Back
Top Bottom