Naskia mtu kuchukua uamuzi wa kujiua inasemekana nyuma yake kuna watu au mtu katika ukoo alifanya hivyo na ni laanaHayajakukuta, endelea kumshukuru Mungu.
May be!!Naskia mtu kuchukua uamuzi wa kujiua inasemekana nyuma yake kuna watu au mtu katika ukoo alifanya hivyo na ni laana
Roho ya huyo mwalimu itabaki ikirandaranda ??? KwaniniRoho kama hizi zisizotimiza makusudi yake na kuondoka kwa uchungu hurandaranda kudai haki
Mtafute huyo mwenza wake Baada ya miaka 5 au 10 utamhurumia, japo anaweza kuwa anaishi lakini utafahamu wazi anatamani afe
I'm not even sureMay be!!
Sio Ujasiri Mkuu....!Huu ujasiri wa kujiua watu wanatoa wapi
#rip
Nimeeleza kwa kuegemea aina fulani ya UfahamuRoho ya huyo mwalimu itabaki ikirandaranda ??? Kwanini
KWENYE mambo ya MWANAUME huwezi muona subiri IWE kwa mwanamke SASA SIMU KUPIGWA vituo vyote VYA polisiMleteni Waziri Gwajima, aje ashuhudie mgogoro wa ndoa.
More details pls🙏, Yeyote mwenye access ya Ulimwengu wa Roho anaweza kukuibia Uhai wako.
Ila Kuna maneno umeyasema niliwai kuyasikiliza sehemu ..Nimeeleza kwa kuegemea aina fulani ya Ufahamu
SI kila mtu Ana Ufahamu huo, nachelea nisikuchoshe
Ingekuwa kila mbegu inayozalishwa kwenye korodani zako ipandwe sehemu inayotakiwa basi dunia isingetosha..Sio kweli..Mbegu huwa inapandwa... Either kwenye udongo,,ama sehemu sahihi ya kupanda mbegu...Mbegu yako angalau itendee Haki Kwa kuimwaga mahali pake..Ambapo itakufa Kwa sababu nyingine Ila sio Kwa sababu imekuwa disposed as a garbage...Do sex and ejaculate inside vagina...There you will honour your valuable sperm...Nyeto ni ukatili dhidi ya mbegu zako za thamani...Pia ni matumizi mabaya ya mbegu yenye thamani kuliko mbegu zote hapa duniani.
you can't fill a cup which already fullIla Kuna maneno umeyasema niliwai kuyasikiliza sehemu ..
Nani amlele mwanae sasa
😂😂😂😂😂😂Angekuwa mpiga nyeto kama mm ungekuta muda huu amejifungia ndani anakirusha kimoja cha nguvu na kubaki na afya tele.
Kweli tatizo la akili lipo serious, naiamuru serikali kuingilia kati suala hili na kuhakikisha kila mwananchi anapiga nyeto.
Ndugu yangu dronedrake inabidi elimu ya upigaji nyeto tuisambaze nchi nzima ili kuokoa vizazi vijavyo
Tena kwa kujichoma moto... Nakumbuka mara ya kwanza kujiua nilitumia sumu kwa uogaHuu ujasiri wa kujiua watu wanatoa wapi
#rip
Mwingine huku kajiua juzi kwa sababu mumewe kaoa bimdogoMalaika anayeshikilia kitengo Cha watu kujiua mwezi amecharuka sana
Ulishajiua mara ngapi mkuu?Tena kwa kujichoma moto... Nakumbuka mara ya kwanza kujiua nilitumia sumu kwa uoga