Rombo: Kisa mgogoro wa mapenzi Mwalimu ajiua kwa kujichoma moto

vi vizazi vijavyo vitatoka wapi?....❗❗πŸ₯΄πŸ€”πŸ€”πŸ€£
 
Kuna mtu humu alitoa maoni yake akisema , kabla ya mtu kuingia kwenye mahusiano lazima wapimwe afya ya akili ili kudhibitisha SANITY au utimamubwa akili zao.
ni sahihi,... vipi tena NDOA ikiwa ndo chanzo cha afya ya AKILI...?
 
Kujisalimisha kwa mwenyezi kwa asilimia mia ni kama kufanyaje
Kuacha Dhambi, kuishi Maisha Matakatifu, ila hatuwezi kuacha Dhambi Kwa Akili zetu, ila Kwa msaada wa Mungu inawezekana, ili Mungu akuwezeshe kushinda Dhambi ni lazima kujisalimisha kwake 1,000%.
 
Kuacha Dhambi, kuishi Maisha Matakatifu, ila hatuwezi kuacha Dhambi Kwa Akili zetu, ila Kwa msaada wa Mungu inawezekana, ili Mungu akuwezeshe kushinda Dhambi ni lazima kujisalimisha kwake 1,000%.
Ubarikiwe kaka πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…