Romy Jones tishio jipya la waigizaji wa kiume hapa nchini

Wabongo ni wanafki kiwango cha lami kila siku si nyie mnadai humu jamvini hamuwezi/hauwezi kuangalia bongo movie?,acheni unafki...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimuona huko gram
Nikapenda

[emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Asijisahau bali ajiongeze kupaa zaidi
Mwanzo nilifikiri nina matatizo ya macho[emoji16][emoji16] hivi avatar yako inacheza enhe?[emoji848][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

"fᵒˡˡᵒʷ ᵐʸ ˡᵉᵃᵈ ᴵ ˢᵘᵖᵖˡʸ ᵉᵛᵉʳʸᵗʰⁱⁿᵍ ʸᵒᵘ ⁿᵉᵉᵈ"
 

Ndio 😁
Inatoa ujumbe kwa inaowahusu...
 
Kumbe na yeye muigizaji
Ila wewe mleta mada acha unazi unamuitaje staa wakati hana hata kimoja anachofanya cha kumtambulisha hadi wewe mwenyewe umeshindwa hata kutaja hizo filamu alizoigiza ungeniambia MADEBE LIDAI ningekuelewa siyo huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…