Hamna mtu ambaye ameweza kuukaribia uigizaji wa kanumba
Kila anaejarib hafit
Ndo mana walimuita
KANUMBA THE GREAT
Huyo muuza sura dj binafs cmwelewag
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmemzimiaaaNilimuona huko gram
Nikapenda
[emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Asijisahau bali ajiongeze kupaa zaidi
Wabongo ni wanafki kiwango cha lami kila siku si nyie mnadai humu jamvini hamuwezi/hauwezi kuangalia bongo movie?,acheni unafki...Romy Jones au ukipenda muite Jordan , ni muigizaji wa kiume anayekuja kwa kasi sana hapa nchini mpaka kuwa tishio kwa waigizaji wakongwe.
Romy anajua sana kuuvaa uhusika sana sana scene za mapenzi huwa anazipatia balaa na kwa haraka haraka nikiangalia sidhani kama kuna muigizaji wa kiume anayemfikia katika ku act scene za mapenzi.
Mbali na kuwa anajua kuigiza, na muonekano wa kistaa pia una mbeba sana Romy.
View attachment 1012091
Sent using Jamii Forums mobile app
Pete wale wa maisha magic east? Wale si wamombasa ama? Wapo vizuri wamejua kuuvaa uhusika wenye muktadha wa maisha ya muafrika hasa maisha ya watu wa pwani.Mimi naona mutra 1.
anakuja vizuri.
tamthilia ya PETE ni bonge la tamthilia.
ina beba uhusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
bongo movie
Wamekosa vya kuimba!! Wamehamia kwenye kuimba matusi na kuanika uchafu wa chumbaniHata bongofleva ipo katika hatua za mwisho za maisha yake ...... dalili za kifo chake zimeanza kuonekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaimba Matusi na ujinga ujinga mwingine ambao haueleweki ..... mwisho wao upo karibu sana. .Wamekosa vya kuimba!! Wamehamia kwenye kuimba matusi na kuanika uchafu wa chumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo nilifikiri nina matatizo ya macho[emoji16][emoji16] hivi avatar yako inacheza enhe?[emoji848][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Nilimuona huko gram
Nikapenda
[emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Asijisahau bali ajiongeze kupaa zaidi
Mwanzo nilifikiri nina matatizo ya macho[emoji16][emoji16] hivi avatar yako inacheza enhe?[emoji848][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
"fᵒˡˡᵒʷ ᵐʸ ˡᵉᵃᵈ ᴵ ˢᵘᵖᵖˡʸ ᵉᵛᵉʳʸᵗʰⁱⁿᵍ ʸᵒᵘ ⁿᵉᵉᵈ"