RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Tofautisha mtu anaejua mpira na mtu anaecheza mpira kijana .

Statistics hata varejo anazo pia lukaku nae anazo
Na wao utasema wanaujua mpira ?
Gaucho hana alichompita messi acheni mihemuko ya kijinga
 
Neymar kawa mchezaji Bora wa Dunia,Neymar kabeba kombe la Dunia?
Achana naye mkuu huyo dogo hana hata slight mind ya kung'amua nini watu tunaongelea. Yeye kang'ang'ana na statistics neno alilo-cramm wakat anasoma f2. Hajui mpira. Mimi mtu wa hivi sipati tabu kubishana naye. Hajui kwanini Gaucho hakua na magoli mengi akiwa Barcelona. Hajui kwanini alikwisha mapema kiwango chake. Ukimwambia ataje factors hatojua hata moja. Na akiulizwa ang'amue na kujua tofaut za individual skills za hao anaowataja na Gaucho pia hatoweza.
 
Nazungumzia individual statistics like goals and assist
 
Zako ni taarabu tupu gaucho Hamna anachomzidi neymar kipi ambacho gaucho amekifanya neymar hajafanya?

Acheni mihemuko ya kike
 
Inasemekana alizaliwa huku anapiga Dana Dana.
Sijui ni lini atakuja ronaldinho mwingine.
 
Wee waulize real madrid...aliwapiga mpaka mashabiki wa madrid siku hio wakasimama na kumpigia makofiii
Makofi juzi inesta kapigiwa Santiago kwaiyo hiyo sio sababu mkuu
Kuhusu kuwapiga Madrid messi na gaucho nani kawapiga sana?
 
Ni mgonjwa wa akili aliterogwa tu,ndiye atakayepika uwezo wa nguli wa falsafa wa mpira wa miguu,nahisi huko academy za soka wanatumia baadhi ya theory zake kuwafundisha watu maana ya mpira,Na huwa anatumika kama mifano kwa wasiojua na wanaojua mpira,sikuwahi kuipenda brazili lakini macho yangu hayakuona aibu kutamani mfalme ashike mpira hata kama nilikuwa mpinzani lakini nilitamani ashike mpira kwa aonyeshe burudani kaa! GAUCHO pumzika bro
 
Theory za mpira acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…