shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
fund noumaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta statistics zake mkuuGaucho hafananishwi na mtu yeyote.Yeye ni Alfa na Omega
Gaucho hana alichompita messi acheni mihemuko ya kijingaTofautisha mtu anaejua mpira na mtu anaecheza mpira kijana .
Statistics hata varejo anazo pia lukaku nae anazo
Na wao utasema wanaujua mpira ?
Hicho ndicho alichompita?Gaucho alicheza mpira na watu wakaupenda mpira.
Kombe la dunia hata ozil analo je ni bora kuliko messi?Messi hajanyanyua kwapa kombe la Dunia
Fabio cannavaro ni bora kuliko neymar?Neymar kawa mchezaji Bora wa Dunia,Neymar kabeba kombe la Dunia?
Wewe unatumia makalio au?Alonso anatumia Google kuangalia Statistics
Achana naye mkuu huyo dogo hana hata slight mind ya kung'amua nini watu tunaongelea. Yeye kang'ang'ana na statistics neno alilo-cramm wakat anasoma f2. Hajui mpira. Mimi mtu wa hivi sipati tabu kubishana naye. Hajui kwanini Gaucho hakua na magoli mengi akiwa Barcelona. Hajui kwanini alikwisha mapema kiwango chake. Ukimwambia ataje factors hatojua hata moja. Na akiulizwa ang'amue na kujua tofaut za individual skills za hao anaowataja na Gaucho pia hatoweza.Neymar kawa mchezaji Bora wa Dunia,Neymar kabeba kombe la Dunia?
Nazungumzia individual statistics like goals and assistTunachosema hapa ni burudani na raha tuliokua tunapata mara baada ya gaucho kuushika mpira .na kufanya vitu ambavyo hua avirudiwi na mtu
Sasa wewe unapokazia statistic sijui unamaanisha nini.
Mfano valejo ana record ya kubeba uefa mara mbili mfululizo na hajacheza mechi hata moja je uoni kama tukiangalia statistics valejo yuko juu sana japo hana kiwango chochote
Angalia kiwango cha mtu binafsi
Zako ni taarabu tupu gaucho Hamna anachomzidi neymar kipi ambacho gaucho amekifanya neymar hajafanya?Achana naye mkuu huyo dogo hana hata slight mind ya kung'amua nini watu tunaongelea. Yeye kang'ang'ana na statistics neno alilo-cramm wakat anasoma f2. Hajui mpira. Mimi mtu wa hivi sipati tabu kubishana naye. Hajui kwanini Gaucho hakua na magoli mengi akiwa Barcelona. Hajui kwanini alikwisha mapema kiwango chake. Ukimwambia ataje factors hatojua hata moja. Na akiulizwa ang'amue na kujua tofaut za individual skills za hao anaowataja na Gaucho pia hatoweza.
Wee waulize real madrid...aliwapiga mpaka mashabiki wa madrid siku hio wakasimama na kumpigia makofiiiHuyo hana chochote zaidi ya kujipiga vyenga ndyo maana record zake binafsi za barca na Brazil zimefunikwa na neymar Jr
Makofi juzi inesta kapigiwa Santiago kwaiyo hiyo sio sababu mkuuWee waulize real madrid...aliwapiga mpaka mashabiki wa madrid siku hio wakasimama na kumpigia makofiii
Kweli wewe ni mjingaInasemekana alizaliwa huku anapiga Dana Dana.
Sijui ni lini atakuja ronaldinho mwingine.
Kweli wewe ni mjinga
Watoto laleni,muwahi shule keshoOverrated tu huyo lakini si lolote kwa messiah cuccittini
Usikute mkeo ana akili kukushinda weweWatoto laleni,muwahi shule kesho
Theory za mpira acha uongoNi mgonjwa wa akili aliterogwa tu,ndiye atakayepika uwezo wa nguli wa falsafa wa mpira wa miguu,nahisi huko academy za soka wanatumia baadhi ya theory zake kuwafundisha watu maana ya mpira,Na huwa anatumika kama mifano kwa wasiojua na wanaojua mpira,sikuwahi kuipenda brazili lakini macho yangu hayakuona aibu kutamani mfalme ashike mpira hata kama nilikuwa mpinzani lakini nilitamani ashike mpira kwa aonyeshe burudani kaa! GAUCHO pumzika bro
Sijaoa bado,nilete posa?Usikute mkeo ana akili kukushinda wewe