Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikutajia utaanza kuleta mada za Akina Cannavaro.Baki na Statistics zako siye tutabaki na Radha ya mpiraKipi alichofanya gaucho neymar hajafanya?
LieNumbers always don't lies
Unaona kumbe hujui unachokitetea kama kipo alichokifanya neymar hajakifanya kitaje mkuuNikikutajia utaanza kuleta mada za Akina Cannavaro.Baki na Statistics zako siye tutabaki na Radha ya mpira
Hizo statistics wanazo kina henry van nesterooy etc....gaucho hakuna wakufanana naye tuacheni ubishi wa kijingaHuyu jamaa nadhani hajawahi faidi Radha ya Mpira.Anaongelea Statistics tu hicho ndio anajua.Ila kuhusu Radha ya mpira sijui kama anajua chochote
Ladha gani aliyonayo gaucho ambayo neymar hana?Huyu jamaa nadhani hajawahi faidi Radha ya Mpira.Anaongelea Statistics tu hicho ndio anajua.Ila kuhusu Radha ya mpira sijui kama anajua chochote
Dinho hamfikii neymar Jr kwa skills mpaka kufunga na gaucho analitambua hiloNatamani atokee Dihno mwingine bahati Mbaya hakuna anayetokea
Ccm wanadanganya watz kila cku kwa number za uongo alafu unasemaje mkuu??...Numbers always don't lies
Una akili timamu kweli kumtetea gaucho kwa hoja za CCM?Ccm wanadanganya watz kila cku kwa number za uongo alafu unasemaje mkuu??...
Kipi alichomzidi neymar?Ronadinho alikuwa na kiwango cha lami
Hakika. Ana kipaji cha hali ya juu sanayule jamaa alikuwa na mguu wa ajabu sana
Kipi cha ajabu alichofanya?Hakika. Ana kipaji cha hali ya juu sana
Nini cha ajabu alichofanya wewe shithole?Gaucho Is a GOAT [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Kachukua ballon dor mara 2 na kombe la duniaKipi alichomzidi neymar?