RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Nilichogundua ni kwamba
1.mashabiki wengi wa gaucho hawajui mpira
Na hawajamuona akicheza zaidi ya kuhadithiwa

2.Ni wabishi kiasi kwamba wana mtetea mtu kwa kutaka aonewe huruma but hakuna cha ajabu gaucho alichonacho.

Conclusion kipi alichokifanya gaucho neymar hajakifanya ni kipi gaucho alicho mzidi neymar cha binafs in his football career?
 
Alijaliwa kipaji cha mpira mie sijawahi ona , akishika mpira na kuuchezea unajisikia furaha huku akicheka meno yako nje. Na wanawake walipenda mpira kwa sababu ya uzuri wa sura na Cheka Cheka yake alikua si rahisi kukasirika. Daah Mungu alijalia kipaji na alikitumia vema. Mungu amjalie heri katika maisha mtu wa furaha saa zote kama alivyokua uwanjani. Daah real mtaalamu ball dancer.
 
Gaucho Is a GOAT [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Legendary kastaafu..uyu jamaa ulikuwa unaangalia magoli yaan point. 3 na burudani ya mpira..mchezaji wa karne uyoo..ukienda kibanda umiza hujutii kiingilio chako
 
Gaucho Is a GOAT [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Nini cha ajabu alichofanya wewe shithole?
 
Leteni stastics za neymar na gaucho ushabiki wa mihemko hautakuwi
 
Back
Top Bottom