RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

+ronaldinho alikuwa king wa barcelona ktk zama zake kitu ambacho neymar hajawai
+n mchezaji pekee aliyefanya mashabiki wa madridi kusimama kumpigia makofi....ronaldinho katika mpira wa burudani yuko juu sana...fanya kugugo ni video ipi iliowahi kuanzakufikisha milioni 1 kwa mara ya kwanza tangu youtube ianze afu uje apa alafu kaangalia alichokuwaakifanya mule ndani kwenye miamba alafu uje apa ...skillz za neymar za kawaida sana n kama ronaldo wa man u na robinho...level za gaucho unaezamlinganisha na okocha labda alivokuwa kwenye fomu yake kweli
 
Nakumbuka debut ya messi jinsi ronaldinho alivyo kuwa anamfurahia dogo, alikuwa ana mpa assists za akili sana ...so emotional [emoji24]
 
Binafsi ni shabiki sn wa Messi. Lakini kuendelea kumfananisha Gaucho na wachezaji wa kizazi hiki NI UTOVU WA NIDHAMU. Tukubali he is and will always be a legend...!!!

Hawa kina Neymar Jr, Ronaldo, Messi, Suarez etc, sawa tunakubali, wanafunga na kutoa assist kibao, ila burudani ya mpira wao ni tofauti sn na burudani aliyokuwa anatoa Gaucho..!!!

Halafu haw wa sasa hivi WANAZOELEKA SANA, na hata ukikosa kuangalia mechi zao unaona poa tu. Ila Gaucho alikuwa hazoeleki aisee..!! Mechi ya Gaucho ndani ikikupita hujaiona, yan mpk mtu unajisikia vibaya. Unajiona kma umemiss kitu gani cjui. Jamaa kila siku mpya...!!!
 
kulikuwa na haja ya FIFA kuandaa mchezo wa soccer legends Vs current FIFA best team, maalumu kwa kumuaga mtaalamu/fundi/ Gaucho, ...maana aliyoyafanya kwenye soka sio ya mchezo mchezo, mbwembwe zake uwanjani sidhani kama atakuja tokea mwanasoka mwingine kama yeye
 
Daaaah, I will miss him, a lot aiseee..!!! Jamaa alikuw fundi sana. Binafsi alinifanya nione dakika 90 hazitoshi kwny soka...!!!

Kipindi hicho hakukuwa na mafundi wazuri ndio maana yeye atleast alionekana onekana. Kipindi cha hiki cha king Messi angelikuwa anashika nafasi ya 10 au hata zaidi.
 
+n mchezaji pekee aliyefanya mashabiki wa madridi kusimama kumpigia makofi....ronaldinho katika mpira wa burudani yuko juu sana...fanya kugugo ni video ipi iliowahi kuanzakufikisha milioni 1 kwa mara ya kwanza tangu youtube ianze afu uje apa alafu kaangalia alichokuwaakifanya mule ndani kwenye miamba alafu uje apa ...skillz za neymar za kawaida sana n kama ronaldo wa man u na robinho...level za gaucho unaezamlinganisha na okocha labda alivokuwa kwenye fomu yake kweli
Andres inesta pia amepigiwa makofi Santiago kwaiyo hiyo sio big deal
 
Binafsi ni shabiki sn wa Messi. Lakini kuendelea kumfananisha Gaucho na wachezaji wa kizazi hiki NI UTOVU WA NIDHAMU. Tukubali he is and will always be a legend...!!!

Hawa kina Neymar Jr, Ronaldo, Messi, Suarez etc, sawa tunakubali, wanafunga na kutoa assist kibao, ila burudani ya mpira wao ni tofauti sn na burudani aliyokuwa anatoa Gaucho..!!!

Halafu haw wa sasa hivi WANAZOELEKA SANA, na hata ukikosa kuangalia mechi zao unaona poa tu. Ila Gaucho alikuwa hazoeleki aisee..!! Mechi ya Gaucho ndani ikikupita hujaiona, yan mpk mtu unajisikia vibaya. Unajiona kma umemiss kitu gani cjui. Jamaa kila siku mpya...!!!
Acha maneno ya kutia huruma leta statistics za neymar na gaucho pale barca
 
kulikuwa na haja ya FIFA kuandaa mchezo wa soccer legends Vs current FIFA best team, maalumu kwa kumuaga mtaalamu/fundi/ Gaucho, ...maana aliyoyafanya kwenye soka sio ya mchezo mchezo, mbwembwe zake uwanjani sidhani kama atakuja tokea mwanasoka mwingine kama yeye
Kipi cha ajabu alichokifanya neymar Jr hajakifanya?
 
Back
Top Bottom