hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
+ronaldinho alikuwa king wa barcelona ktk zama zake kitu ambacho neymar hajawaiKachukua ballon dor mara 2 na kombe la dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
+ronaldinho alikuwa king wa barcelona ktk zama zake kitu ambacho neymar hajawaiKachukua ballon dor mara 2 na kombe la dunia
+n mchezaji pekee aliyefanya mashabiki wa madridi kusimama kumpigia makofi....ronaldinho katika mpira wa burudani yuko juu sana...fanya kugugo ni video ipi iliowahi kuanzakufikisha milioni 1 kwa mara ya kwanza tangu youtube ianze afu uje apa alafu kaangalia alichokuwaakifanya mule ndani kwenye miamba alafu uje apa ...skillz za neymar za kawaida sana n kama ronaldo wa man u na robinho...level za gaucho unaezamlinganisha na okocha labda alivokuwa kwenye fomu yake kweli+ronaldinho alikuwa king wa barcelona ktk zama zake kitu ambacho neymar hajawai
Kombe la dunia hata philipo lahm analo leta goals and assistKachukua ballon dor mara 2 na kombe la dunia
Nini cha ajabu alichofanya wewe shithole?
shombo hizoKwan bado alkuwa anachezaa
we mwamba nataka uwe known sana jf me nishakufahamWewe mwehu gaucho amempita kipi neymar tukienda kwenye statistics?
Daaaah, I will miss him, a lot aiseee..!!! Jamaa alikuw fundi sana. Binafsi alinifanya nione dakika 90 hazitoshi kwny soka...!!!
Leta stastics za neymar barca na gaucho mkuu+ronaldinho alikuwa king wa barcelona ktk zama zake kitu ambacho neymar hajawai
Andres inesta pia amepigiwa makofi Santiago kwaiyo hiyo sio big deal+n mchezaji pekee aliyefanya mashabiki wa madridi kusimama kumpigia makofi....ronaldinho katika mpira wa burudani yuko juu sana...fanya kugugo ni video ipi iliowahi kuanzakufikisha milioni 1 kwa mara ya kwanza tangu youtube ianze afu uje apa alafu kaangalia alichokuwaakifanya mule ndani kwenye miamba alafu uje apa ...skillz za neymar za kawaida sana n kama ronaldo wa man u na robinho...level za gaucho unaezamlinganisha na okocha labda alivokuwa kwenye fomu yake kweli
Acha maneno ya kutia huruma leta statistics za neymar na gaucho pale barcaBinafsi ni shabiki sn wa Messi. Lakini kuendelea kumfananisha Gaucho na wachezaji wa kizazi hiki NI UTOVU WA NIDHAMU. Tukubali he is and will always be a legend...!!!
Hawa kina Neymar Jr, Ronaldo, Messi, Suarez etc, sawa tunakubali, wanafunga na kutoa assist kibao, ila burudani ya mpira wao ni tofauti sn na burudani aliyokuwa anatoa Gaucho..!!!
Halafu haw wa sasa hivi WANAZOELEKA SANA, na hata ukikosa kuangalia mechi zao unaona poa tu. Ila Gaucho alikuwa hazoeleki aisee..!! Mechi ya Gaucho ndani ikikupita hujaiona, yan mpk mtu unajisikia vibaya. Unajiona kma umemiss kitu gani cjui. Jamaa kila siku mpya...!!!
Kwa lipi?Huyu mtu anatakiwa kuitwa Soka
Maneno yako ni ya matapeli wa forexAlikua anapika yule traffic pale njiapanda ya kawe tanesco wamekata umeme sijui lini Shilole ataimba tena.
Leta stastics acha manenowe mwamba nataka uwe known sana jf me nishakufaham
Kipi cha ajabu alichokifanya neymar Jr hajakifanya?kulikuwa na haja ya FIFA kuandaa mchezo wa soccer legends Vs current FIFA best team, maalumu kwa kumuaga mtaalamu/fundi/ Gaucho, ...maana aliyoyafanya kwenye soka sio ya mchezo mchezo, mbwembwe zake uwanjani sidhani kama atakuja tokea mwanasoka mwingine kama yeye
Waambie mkuu wanasifia ujinga tuHana lolote. Bora kastaafu angezidi kujizalilisha tu,