BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Sijui una lingineUnaijuwa Euro million 3 au unatomboka tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui una lingineUnaijuwa Euro million 3 au unatomboka tu?
Google inamilikiwa na makafir.Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Ukipenda kujifunza unaweza kutumia Google.
bora wenger mbona guadiola hajatoa kabisa kwa tafsiri yako haha ha hamanchester city kiboko
wenger bahili kama kawaida yake
Wayahudi hao........................Google inamilikiwa na makafir.
Acheni masuala ya udini hapa...........................Kila mtu aamini anachoamini.................Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga. Maelezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti andunje.Andunje kodi tu imemshinda, sembuse misaada
ingekua TFF hiyo hela ingepitia kwanza kwa mkuu ipangiwe kazi maalum ya kujenga miundombinu ya ndege, hela yote ingetumika kununulia BombadiaIngekuwa TFF wamepewa loh
Messi anasomesha na kuwalisha zaidi ya watoto 700,000 wanaoishi bara la giza Africammkumbushe na Messi jamani aikwepe kuwasaidia kama anavyokwepa kodi.
Leta ushahidi wa hao watoto anaowasomeshaMessi anasomesha na kuwalisha zaidi ya watoto 700,000 wanaoishi bara la giza Africa
Pia mbona tayari ashaahidi kutoa euro 10M zaidi ya nusu na robo aliyotoa cr7
Ttzo lenu cr7 fans ,cr7 akifanya chochote twitter,fb kila sehemu atatangazwa..hvy tu
Messi ni balozi wa UNICEF ,kupitia foundation yake ya Leo messi foundation ameingia mkataba na UNICEF kusaidia watoto kwenye elimu,lishe nk na anachangia kila mwaka Ma millioni UNICEF ..Leta ushahidi wa hao watoto anaowasomesha
ni vizuri kama anafanya hivyo ndiyo furaha yangu kuona wenye nacho anatumia na ambao hawanacho.Messi anasomesha na kuwalisha zaidi ya watoto 700,000 wanaoishi bara la giza Africa
Pia mbona tayari ashaahidi kutoa euro 10M zaidi ya nusu na robo aliyotoa cr7
Ttzo lenu cr7 fans ,cr7 akifanya chochote twitter,fb kila sehemu atatangazwa..hvy tu