Ronaldo atoa msaada wa fedha kwa familia za wachezaji waliofia katika ajali ya ndege

Google inamilikiwa na makafir.

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Maelezo
 
Acheni masuala ya udini hapa...........................Kila mtu aamini anachoamini.................
 
Ingekuwa TFF wamepewa loh
ingekua TFF hiyo hela ingepitia kwanza kwa mkuu ipangiwe kazi maalum ya kujenga miundombinu ya ndege, hela yote ingetumika kununulia Bombadia
 
mmkumbushe na Messi jamani aikwepe kuwasaidia kama anavyokwepa kodi.
Messi anasomesha na kuwalisha zaidi ya watoto 700,000 wanaoishi bara la giza Africa

Pia mbona tayari ashaahidi kutoa euro 10M zaidi ya nusu na robo aliyotoa cr7

Ttzo lenu cr7 fans ,cr7 akifanya chochote twitter,fb kila sehemu atatangazwa..hvy tu
 
Hiyo club inaweza kuwa ndio club tajiri Brazil baada ya Rambi rambi
 
Messi anasomesha na kuwalisha zaidi ya watoto 700,000 wanaoishi bara la giza Africa

Pia mbona tayari ashaahidi kutoa euro 10M zaidi ya nusu na robo aliyotoa cr7

Ttzo lenu cr7 fans ,cr7 akifanya chochote twitter,fb kila sehemu atatangazwa..hvy tu
Leta ushahidi wa hao watoto anaowasomesha
 
1480497670856.jpg
 
Leta ushahidi wa hao watoto anaowasomesha
Messi ni balozi wa UNICEF ,kupitia foundation yake ya Leo messi foundation ameingia mkataba na UNICEF kusaidia watoto kwenye elimu,lishe nk na anachangia kila mwaka Ma millioni UNICEF ..

Kwa uhakika zaidi na habari kem kem tembelea tovuti ya Leo messi foundation
 
Messi anasomesha na kuwalisha zaidi ya watoto 700,000 wanaoishi bara la giza Africa

Pia mbona tayari ashaahidi kutoa euro 10M zaidi ya nusu na robo aliyotoa cr7

Ttzo lenu cr7 fans ,cr7 akifanya chochote twitter,fb kila sehemu atatangazwa..hvy tu
ni vizuri kama anafanya hivyo ndiyo furaha yangu kuona wenye nacho anatumia na ambao hawanacho.
 
Malinzi anatamani itokee 10% aichikichie!

Mesi ametoa
 
Back
Top Bottom