Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani


Messi sio binadamu. Haters wenyewe wanakiri. Isipokuwa ubishi usiokuwa na maana.
 
Huyu ndo mchezaji ambae anawasumbua vichwa watu duniani__kila anaekuja anawika miaka miwili au mitatu anapotea lakini Messi yupo pale pale_best player in all generation.

Nyie pigeni kelele mpaka masikio yasimame lakini Messi ndio kwanzaa anazidi kuwa fire
 


Ivi mkuu kwa akili zako tu za kuzaliwa unaamini kweli de lima ni zaidi ya Messi! Zidane ni zaidi ya Messi! Gaucho ni zaidi ya Messi! Au unamkusudia Messi yupi wa mchangani au??? Nashangazwa sana unatuletea vitu vya ajabu unavilinganisha na Mfalme wa soka kuwahi kutokea! Pele na maradona wenyewe wamenawa mikono kwa Messi, alaf wewe unatuletea vibeseni hapa akina de lima!!! Kuwa serious!


Nimekusoma unachuki sana na Messi hilo liko wazi mkuu. Na sio Messi tu hata cr7.

 
Hiyo kweli kabisa , Kuna mwaka Ronaldo de lima alikuwa mchezaji bora 1998 au 1999, mi niliona figo ndio alistahili nikabishana Sana na jamaa, mwaka uliofuatiwa figo akawa mchezaji bora
mmmh hapa pana ukweli? figo 1998-1999 ,!

embu angalia vizuri kumbukumbu zako!
 

Sijui anataka facts zipi_wabongo bana vichekesho sana, ndio maana kwenye mitihani/interview tunafeli sana
 


Zidane ni mchezaji bora zaidi ya De lima, tena yupo kwenye list ya wachezaji wa zamani na sio Dada lima

  1. Kwa taarifa yako waliotajwa kwenye utatu kuna
  • Messi
  • Diego
  • Pele
Ukija kundi la pili kuna
  • Alfredo
  • Cruyff
  • Platini
  • Cr7
  • Zidane
Sasa huyo de lima wako ambae ni foward tu wakumalizia utamlinganisha vipi na Messi ambae yupo level ya juu!! Huyu huyu Messi ana assist anaetengeneza, kukusanya kijiji and then anascore. Aise muombe radhi kiumbe huyu asie na mpinzani mpaka now.

Sina mda wa kujadili wakati ukweli unajulikana. Ukitaka facts zaidi omba msaada Google.
 
mimi simpendi CR7 but haimaanishi kuwa hajui Moira ..ila huwa simpendi kwakuwa najua kuna watu wana force awe sawa na messi ...
ila ktka suala hili la cr7kupitwa nakina figo cjui DELIMA aiseeee na pinga vikali nikumkosea heshima ronaldo 7
 
mimi simpendi CR7 but haimaanishi kuwa hajui Moira ..ila huwa simpendi kwakuwa najua kuna watu wana force awe sawa na messi ...
ila ktka suala hili la cr7kupitwa nakina figo cjui DELIMA aiseeee na pinga vikali nikumkosea heshima ronaldo 7

Upo sahihi mkuu!! imi pia simpendi Cr7. Lakini likija swala la kuwalinganisha na kuweka ushabiki mandazi pending cr7 ni bora mara 100 yao. Alaf anakuja mtu ana mcompare Messi na cr7 or Messi na De lima or Messi na Gaucho or Messi na Zidane. Yani mtu kama hana cha kuchangia ni heri akae pembeni awaachie wanaojuwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa taarifa fupi mimi ni mshabiki kindakindaki wa La Liga, unaweza pia kunikuta kwenye Real Madrid Special thread humuhumu JF. Sasa hizo chuki nazianzaje. Kama una kawaida ya ku fail interview hilo ni tatizo lako wala sio la jumla. Pole sana mkuu.
 
Sikujua kama uko low kiasi hiki. Hivi inakuwaje una conflict of interest na unajiweka kwenye position ya uamuzi wa jambo sensitive? Sasa chuki za nini kwenye mchezo unaohimiza "Fair Play" kama huu? Bahati mbaya kwa fikra zako finyu unalazimisha na wengine tuamue kwa muktadha huohuo. Hapana, twende na mpira wetu vizuri tu.
 
Umeandika mengi lakini haya ukweli nadhani tathimini yako imebase katika kizazi ulichoanza kuujua mpira cha kina messi,lakini delima yuko sahihi kabisa wala sikweli kuwa ronaldo alizungukwa na watu wenye uwezo katika mantiki hiyo nitakuuliza wakati messi anakuwa mfungaji bora au ronaldo mdogo anakuwa mfungaji bora hakuzungukwa na watu wenye uwezo?wakati wakina delima tulizungumzia vipaji binafsi na vipaji halisi achana na huu mpira waleo ulio jaa technolojia ambao kila mtu hata ambae hajawai cheza mpira wamakaratasi anaweza kuwa mchambuzi wa soccer tunazungumzia mpira ule ulio fanya mpira waleo kuwa biashara kubwa 99% hawakuwa wachezaji wa kutengenezwa
 
Sijui kama watakuelewa hawa vijana
 
Kizazi hiki meharibikiwa sana, mchezaji bora kwenu ni yule anaefunga magoli mengi tu, wengine hawana nafasi, sikushangai kusema haya.
 
Messi and Ronaldo(cr7) have absolutely no chance to this guy(R9)NEVER NEVER, R9 was the best player without a doubt to have ever walked the face of this world.
 
Kizazi hiki meharibikiwa sana, mchezaji bora kwenu ni yule anaefunga magoli mengi tu, wengine hawana nafasi, sikushangai kusema haya.
makaveli [HASHTAG]#heshima10[/HASHTAG] yako kwanza...
mkuu hiki kizazi ni moja ya vizazi bora kabisa kuwahi kutokea ..maana messi tu kama mchezaji mmoja lakini anasifa zote ambazo zilikuwa zinapatikana kwa wachezaji mmoja mmoja wa wakati huo wazamani hahaa ndio maana zamani palikuwa na competition kubwa ..ukimuangalia messi vyema utagundua kuwa ana skills .ana drible anaichezesha team .ndiye mtoaji pass za mwisho za magoli na ndiye mfungaji bora wa club na ligi ya Spain wa muda wote...so wataka nini tena ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…