Ronaldo de lima(The Real Ronaldo), Ronaldo de asis moreira(Gaucho) na Christiano Ronaldo nani mkali?

Cr7 na mess ndio wako vzur lakn delima na gaucho walikuwa hawafai
 
yaani ingekuwa uchaguzi mapema tu saa 4 asubuhi SAINT GAUCHO uwiiiiiiuwiiiikriiiii hatari golikipa wa England alifungwa goli matata na saint gaucho huyu kipa alifurahi sana maana maana mtoto kamfunga babu cccc GANGCHOMBA
 
4-Kwa kutikisa mitako uwanjani gaucho hajambo
3-Kwa selfie na umaliziaji Cr7 hajambo
2-Kwa umaliziaji De lima hajambo
1-KWA DRIBBLING NA MAMBO YOTE KING L10 HAJAMBO
Nikurekebishe.. de lima hakuwa mmaliziaji, wamaliziaj ni kina inzaghi, chicharito, giroud n.k

De lima alikuwa zaidi ya umfikiriavyo wewe, alikuwa na driblling nzur, ana vitu mguuni, control imelala, vibaiskeli sijui takataka gani alikuwa anavyo mguuni, na mwisho ndio mfungaji..

Mtafute popote alipo ukamuombe radhi..
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
De lima alikuwa anaujua mpira, mtu wa kazi, control, skills za kumwaga, speed anayo, akitaka lake atalipata, sio mtu wa kuguswa na kuanguka anguka kama anadege dege kabla ya pancha yake, alikuwa na target, alikuwa na stamina..

Niliinjoi mnoo kumtazama uwanjan, mara kwa mara narudia baadhi ya game zake.. huyu mtu ni hatari namba 9 bora toka nianze kutizama mpira.
 
Hahahaa naikumbuka vizuri hiyo Final World cup 2002 Brazil vs German
 
He was jst Phenomenon,a joy to watch,Lakini pia Cr 7 in his 20 's alikua waajabu atakua more appreciated atakapo acha kucheza soka
 
Hakumuona De Lima huyo,He was a complete package of a striker
Yani kama vile Marco Van Basten lakini more of a #9 instincts
 
Kabisa mkuu nikufumBa macho Naona picha amenyoosha kidole baada ya kufUngA
 
He was jst Phenomenon,a joy to watch,Lakini pia Cr 7 in his 20 's alikua waajabu atakua more appreciated atakapo acha kucheza soka
Sikatai, wala sio kwamba nampinga cr7, ni mchezaji mzuri hasa linapokuja suala la kujituma, wenger aliwahi kusema he is a true definition of an athlete, ni kiigizo chema kwa vijana wote wanaohitaji, sijaona mcjezaji mjanja kama yeye hasa linapokuja suala la kujiposition apaye kufunga, cf7 namheshimu sababu anajitambua, alitambua ule mpira wake wa kuhangaika hangaika na vibaiskel vyake popote labda a asingefika popote angeishia kuwa kama luis nani, akajiongeza ndio huyu cr7 tuliyenae sasa hiv, sijawah kumponda, simchukii namkubali kama mchezji mzur sana, huwa nafurah kumtazama.

Ila sasa sijawahi kumkubali mbele ya de lima wala messi, kuna kipindi nilikuwa siwapendi hata kuwasikia barcelona, lakin nilikiwa naamin messi yuko mbele yake..

Ukiachana na yote mpira ni starehe.. de lima alikuwa anatuma vingi uwanjani, alikuwa anatustarehesha hasa, cr7 anatupa vtu vzur ila si vingi vya kuikamilisha starrhe ya mpira..
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Maradona, pele, stefano na zindine zizo hawajamfikia KING LION___sembuse hao watoto wa juzi.
Namkubali mnoo messi ila usimletee dharau hizo de lima, nafurah wote nimewatizama vizuri tu hakuna niliyesimuliwa, nakwambia hivi hakuna kama de lima ile ni namba 9 hatari na sijui tutampatia wapi kama yule.

Messi ni most complete player in dribbling n passing, kuna aina ya mfumo unambeba unaona national team wakat mwingine huwa anahangaika sana, na ndio maana kuna wapinzani wake wanakwambia messi si mchezji, oohh, sijui kacheza hapo hapo, sikatai, jaribu kumuweka messi katika mfumo wa mourinho uone tabu yake.. ila de lima ni zaid ya umfikiriavyo kamtizame upya..[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

[emoji35] [emoji35] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Jamaa unaujua mpira na umeuangalia.sana, mjadara.unakuwa mtamu ukikutana na anaye jua kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…