Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Ronaldo ndio nani hadi nimfuate yeye?

Mjomba siku ukisikia Ronaldo analiwa na wewe utaliwa kwasababu mtu mwenye hela analiwa?
Kwann unaoa na huna kitu, maisha yako magumu unaishi kwa shida lakini Ronaldo ana kila kitu hajaoa??
 
Hakuna kusainishana makaratasi ya kisheria hapa. Tunaishi wote kama hataki aondoke..
Sio Kila ndoa inayofungwa Kuna kusainishana makaratssi, ndoa inafungwa na inafungika na hakuna makararasi Wala nini haya makararasi wameyaweka watu flani kwa mambo wanayoyajua wao
 
mtu yupo bongo anawaza kuolewa na Ronaldo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…