Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Pia Ronaldo alikuwa na Historia ya Hat Trick 23 La Liga huku Messi akiwa na 21. Ila kwa sasa wote wapo sawa.
Nampenda sana Messi, hana madoido ya kijinga uwanjani, anachoangalia yeye ni namna gani anaweza akasaidia timu ikapata ushindi ndani ya Uwanja mda wowote.
Nimemuona Ronaldinho akiwa Barca ila kwa Messi hapana aiseee.
Cristiano umri unaenda, Messi ndo kwanza ana 27. Messi ana nafasi kubwa ya kuweka Record nyingi zaidi hapa duniani.
CR7 kaja pale underdog tu hakuna aliyekuwa anamjua zaidi ya fergurson na bench lake la ufundi,kiufup kakulia pale na kakomaa pale kaenda tumika laliga apart frm that kawa mcheza bora wa dunia akiwa pale epl,Cr7 kacheza ligi tatu tofauti,kujibu swal lako mbona kakaa misimu 6 epl na kawa mchezaj bora mara1 simple and maybe epl ni ngumu kuliko laliga,messi aende nje ya laliga akafanye anayoyafanya laliga uje uongee nitakuelewa na sio kumbeza tu CR7
Kwa sasa messi anashikilia rekodi ya hat trick nying kamzidi cr7 1
Huyo messi anakutana na timu za epl na bado anaziadhibu unataka afanye nn tena
Tatizo mpira huangalii, unabakia kukaa na majungu tuu.Bacra wanacheza na team simple simple ndio mana miss anang'aa
Tatizo mpira huangalii, unabakia kukaa na majungu tuu.
We sio mstaarabu. Sie twaongelea mambo ya mpira weye waja na upuuzi hapa...Duuiuh we umekua mke wangu nini?
Achana naye huyo, anasema Barca anacheza na timu nyepesi wakati hii na Ligi na timu ambazo Barca inacheza nazo, Real Madrid nao wamecheza.We sio mstaarabu. Sie twaongelea mambo ya mpira weye waja na upuuzi hapa...
We sio mstaarabu. Sie twaongelea mambo ya mpira weye waja na upuuzi hapa...
Labda Baba ako ndo kawa mkeo.Duuiuh we umekua mke wangu nini?
Bacra wanacheza na team simple simple ndio mana miss anang'aa
na halafu wanasema epl ngumu kuliko la liga na ukiangalia wachezaji wa la liga wanapokuja epl wanasumbua kupita kiasi mfano d. costa. fabregas . alexis sanches na hata di maria japo kua timu aliokuja imefulia siiwambii tena messi atakapo kuja epl mdsa wote atakua anapiga hart trick labda wamvunje miguuAchana naye huyo, anasema Barca anacheza na timu nyepesi wakati hii na Ligi na timu ambazo Barca inacheza nazo, Real Madrid nao wamecheza.
Ukimwambia awe anaangalia mpira aanza maneno ya kashfa. Dawa ya Mjinga ni kumnyamazia kimya tuu ili usipoteze mda kwa kubishana nae maneno ya ajabu ajabu.
Wewe punguani kweli hivi kwa akili za kawaida kati ya messi na penaldo nani alianza kucheza soka.Kwani messi kapiga hat trick ngapi kwa miaka mingapi, ilitakiwa CR7 ndio amfukuze messi sio messi kufukuza hat trick za cr7 kwani yy kacheza la riga mda mrefu kuliko Ronaldo
Mark my words, kufungwa kwa madrid na atletico sio guarantee kuwa barca itawafunga madrid. Mark my words, march 22, barca anakaa tena kwa madrid kama alivyokaa mwanzoni mwa msimu.
Naona mnamuongelea messi kumfikia ronaldo, wakati ronaldo alifunga hizo goli 22 huku akiweka rekodi saafi kabisa ambayo messi hajawahi kuiweka. Katika ufungaji messi atasubiri sana kwa ronaldo. Kwa miaka 5 aliyokaa la liga, ana magoli mengi sana kumzidi messi
Halla madrid..!
Wewe punguani kweli hivi kwa akili za kawaida kati ya messi na penaldo nani alianza kucheza soka.
Kwani messi kapiga hat trick ngapi kwa miaka mingapi, ilitakiwa CR7 ndio amfukuze messi sio messi kufukuza hat trick za cr7 kwani yy kacheza la riga mda mrefu kuliko Ronaldo
Tatizo wote mnahesabu magoli tuuu.
Tufanye tunaondoa magoli yao yote tukiassume wako sawa.
Nani anamzidi mwenzake kimpira?
Jibu mnalo