Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Pia Ronaldo alikuwa na Historia ya Hat Trick 23 La Liga huku Messi akiwa na 21. Ila kwa sasa wote wapo sawa.
Nampenda sana Messi, hana madoido ya kijinga uwanjani, anachoangalia yeye ni namna gani anaweza akasaidia timu ikapata ushindi ndani ya Uwanja mda wowote.
Nimemuona Ronaldinho akiwa Barca ila kwa Messi hapana aiseee.
Cristiano umri unaenda, Messi ndo kwanza ana 27. Messi ana nafasi kubwa ya kuweka Record nyingi zaidi hapa duniani.
Kwa sasa messi anashikilia rekodi ya hat trick nying kamzidi cr7 1