Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Pia Ronaldo alikuwa na Historia ya Hat Trick 23 La Liga huku Messi akiwa na 21. Ila kwa sasa wote wapo sawa.
Nampenda sana Messi, hana madoido ya kijinga uwanjani, anachoangalia yeye ni namna gani anaweza akasaidia timu ikapata ushindi ndani ya Uwanja mda wowote.
Nimemuona Ronaldinho akiwa Barca ila kwa Messi hapana aiseee.
Cristiano umri unaenda, Messi ndo kwanza ana 27. Messi ana nafasi kubwa ya kuweka Record nyingi zaidi hapa duniani.

Kwa sasa messi anashikilia rekodi ya hat trick nying kamzidi cr7 1
 
CR7 kaja pale underdog tu hakuna aliyekuwa anamjua zaidi ya fergurson na bench lake la ufundi,kiufup kakulia pale na kakomaa pale kaenda tumika laliga apart frm that kawa mcheza bora wa dunia akiwa pale epl,Cr7 kacheza ligi tatu tofauti,kujibu swal lako mbona kakaa misimu 6 epl na kawa mchezaj bora mara1 simple and maybe epl ni ngumu kuliko laliga,messi aende nje ya laliga akafanye anayoyafanya laliga uje uongee nitakuelewa na sio kumbeza tu CR7

Huyo messi anakutana na timu za epl na bado anaziadhibu unataka afanye nn tena
 
Huyo messi anakutana na timu za epl na bado anaziadhibu unataka afanye nn tena

Mkuu, uliangalia Game ya Man City na Barca? Umeona namna gani Messi alivokuwa anawasumbua Man City, kwa kifupi ni kwamba Messi is unstoppable.
 
We sio mstaarabu. Sie twaongelea mambo ya mpira weye waja na upuuzi hapa...
Achana naye huyo, anasema Barca anacheza na timu nyepesi wakati hii na Ligi na timu ambazo Barca inacheza nazo, Real Madrid nao wamecheza.
Ukimwambia awe anaangalia mpira aanza maneno ya kashfa. Dawa ya Mjinga ni kumnyamazia kimya tuu ili usipoteze mda kwa kubishana nae maneno ya ajabu ajabu.
 
na halafu wanasema epl ngumu kuliko la liga na ukiangalia wachezaji wa la liga wanapokuja epl wanasumbua kupita kiasi mfano d. costa. fabregas . alexis sanches na hata di maria japo kua timu aliokuja imefulia siiwambii tena messi atakapo kuja epl mdsa wote atakua anapiga hart trick labda wamvunje miguu
 
Kwani messi kapiga hat trick ngapi kwa miaka mingapi, ilitakiwa CR7 ndio amfukuze messi sio messi kufukuza hat trick za cr7 kwani yy kacheza la riga mda mrefu kuliko Ronaldo
 
Kwani messi kapiga hat trick ngapi kwa miaka mingapi, ilitakiwa CR7 ndio amfukuze messi sio messi kufukuza hat trick za cr7 kwani yy kacheza la riga mda mrefu kuliko Ronaldo
Wewe punguani kweli hivi kwa akili za kawaida kati ya messi na penaldo nani alianza kucheza soka.
 
Mark my words, kufungwa kwa madrid na atletico sio guarantee kuwa barca itawafunga madrid. Mark my words, march 22, barca anakaa tena kwa madrid kama alivyokaa mwanzoni mwa msimu.

Naona mnamuongelea messi kumfikia ronaldo, wakati ronaldo alifunga hizo goli 22 huku akiweka rekodi saafi kabisa ambayo messi hajawahi kuiweka. Katika ufungaji messi atasubiri sana kwa ronaldo. Kwa miaka 5 aliyokaa la liga, ana magoli mengi sana kumzidi messi

Halla madrid..!

Waambie hao, wanabwawaja tu hawajui kuwa Ronaldo ana miaka mingapi hapo la liga? je ukichukua na aliyoyafanya Uingereza itakuwaje? CR7 ana kila kitu cha kumzidi Messi.
 
Wewe punguani kweli hivi kwa akili za kawaida kati ya messi na penaldo nani alianza kucheza soka.

Ronaldo was a midfielder in man utd.After coming to Real madrid he scored 58 goals in 57 games . Better ratio than any one in la liga history.
 
Kwani messi kapiga hat trick ngapi kwa miaka mingapi, ilitakiwa CR7 ndio amfukuze messi sio messi kufukuza hat trick za cr7 kwani yy kacheza la riga mda mrefu kuliko Ronaldo

Messi huwa anacheza kupigania mafanikio ya Timu na si mafanikio binafsi ndio maana yeye anacheza bila kushindana na mtu yoyote yule.
Na Messi anacheza kwa mazingira na maslahi ya aina yoyote ndani ya Timu, hii ni tofauti na Kwa Ronaldo. Ronaldo ni Selfish. Yupo kimaslahi yake Binafsi kuliko timu.
Kwahiyo mda aliokaa Messi Spain amecheza kwa kusaidia timu na si kwa kuwa na nia kubwa sana kupata mafanikio yake binafsi.
 
Tatizo wote mnahesabu magoli tuuu.
Tufanye tunaondoa magoli yao yote tukiassume wako sawa.
Nani anamzidi mwenzake kimpira?
Jibu mnalo
 
Back
Top Bottom