Rose Manfere, Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2020

Rose Manfere, Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2020

Unaongelea mitindo bila picha unaakili sawasawa mtoa mada
 
Inashangaza sana muda unavyoenda kwa kasi. Dakika 60 zijazo watu wataanza kujiuliza ni wewe uliyejibu ukiwa juu ya boda au ni mimi? Hahah! Halafu si unajua JF yetu haina feature ya draft save kwahivyo nilitype huku nakusanya facts, Itakuwa poa tu though.
Yametimia mkuu anajiuliza sasa ndio ka reply nin😀
 
1995 Shose Sinare
1996 Saida Kessy
1997 Basila Mwanukuzi
1998 Hoyce Temu
1999 Jacqueline Ntuyabaliwe
2000 Happiness Magese
2001Sylvia Bahame
2003 Faraja Kotta
2004 Nancy Sumari
2005 Wema Sepetu

Baada ya hapa mashindano haya yalipoteza mvuto kbs na wengi walishasahau kama kuna hiki kitu kinaendelea.

Waandaaji wajitathimini kwa hili.
waandaaji wa awali walinyang`anywa leseni na sasa yako chini ya kampuni nyingine ambayo haijapata udhamini wala connection kama walizokuwa nayo kina Hashim Lundenga na pia yalianza kupoteza mvuto baada ya mtoto wa alikuwa mbunge wa temeke Sitti Mtemvu kukutwa na kashifa ya kudanganya umri
 
Back
Top Bottom